Enzi zetu zile sio kama leo

Enzi zetu zile sio kama leo

zanpost.jpg

post office -Zenji

salim_road_1912.jpg

Kisauni Ferry -Mombasa

zanp1.jpg

Sultan's palace zanzibar

Huu ndio ulikuwa usafiri wetu baisikeli ya Swala

colourfulbike.jpg

Jamani umenikumbusha baiskeli ya Swala. Hivi hicho kiwanda cha baiskeli za Swala si ndio kile kipo pale Mwenge? Mbona siku hizi hazionekani na zimejaa baiskeli toka bara Asia?

Mambo yetu mazuri yote yamepotea kabisa. Very sad!
 
3090961357_d124765fbc.jpg

<SCRIPT type=text/javascript>Y.E.onDOMReady(show_notes_initially);</SCRIPT><SCRIPT type=text/javascript>F.decorate(_ge('photo_notes'), F._photo_notes).notes_go_go_go(3090961357, 'http://farm4.static.flickr.com/3280/3090961357_d124765fbc_t.jpg', '3.1444');</SCRIPT><FORM id=fave_form style="VISIBILITY: hidden" method=post><INPUT type=hidden value=dce9919d1e424d19c20b3dbea817c278 name=magic_cookie><INPUT type=hidden value=0 name=faveadd><INPUT type=hidden value=0 name=faveremove>

</FORM> <!-- PHOTO CONTENT: DESCRIPTION, NOTES, COMMENTS --> <NOSCRIPT> To take full advantage of Flickr, you should use a JavaScript-enabled browser and
install the latest version of the Macromedia Flash Player.
</NOSCRIPT> <!-- ############## COMMENTS -->
Mrembo Hawa at Oysterbay 1981

Natural beauty......Wow!
 
Peugeot 504 ........ Arusha Namanga, mpo!!!!!

22415449_56632fda6d.jpg

Peugeot504TI-1.jpg
Acha bwana, unanikumbusha hayo maguruwe. Mabaharia wakati ule waliyaingiza nchini, yalikusanywa na kuozea pale National Stadium karibu na Indoor Stadium. Magari hayo yalikuwa bomba sana.
 
Hiyo baisikeli ilipambwa kisukuma! wasukuma wanajua sana kupamba baisikeli!!
Jmani enzi hizo....
 
Watoto wa Kisutu hao.......!!! Enzi ukiwa na demu Kisutu au Jangwani ni ujiko wa kutosha!

hiyo ni shule ya Zanaki, enzi hizo palikuwa na dojo matata sana pale, ilikuwa inapigwa kareti ya kufa mtu,

hao wasichana wa Zanaki partina wao walikwa Tambaza na wale wa Jangwani walikuwa na Azania, Kisutu walikuwa Neutral, dah kweli zamani hairudi
 
Naomba jina la huyu bwana mwenye kaunda suti ya blue wa kwanza kulia
 
old_radio.jpg

Nakumbuka Radio kama hii... Bado ipo home na inafanya kazi, ila ahishiki radio fm... hapo ni mambo ya MW - Medium Wave, SW - Short Wave na LW - Long Wave.
 
Hao ndio waliokuwa Ma- Beetozzzozz wa A-Town enzi hizo. Mjomba Fundi wa N.Y City na marehemu D.J Marcoop, wengine siwafahamu.
Kweli udongo hauli Kisamvu, bali unatusubiri sisi.
 
22415449_56632fda6d.jpg

Mashaalaha A-Town enzi zake! siku hizi mji umetekwa na wala rushwa. Machalii wote wamewekwa pembeni- wamehamishwa MATEJOOO!!
 
hiyo ni shule ya Zanaki, enzi hizo palikuwa na dojo matata sana pale, ilikuwa inapigwa kareti ya kufa mtu,

hao wasichana wa Zanaki partina wao walikwa Tambaza na wale wa Jangwani walikuwa na Azania, Kisutu walikuwa Neutral, dah kweli zamani hairudi

Ni kweli hao ni madada wa Zanaki wa Kisutu wao walikuwa wanavaa tunaita sketi za rangi ya zambarau. Mdau umepatia Zanaki walikuwa na Tambaza, Jangwani na Azania. Ujiko ilikuwa kumpata mtoto wa Forodhani(wao ndio walikuwa watoto wa kishua aka ndizi nyama)
 
old_radio.jpg

Nakumbuka Radio kama hii... Bado ipo home na inafanya kazi, ila ahishiki radio fm... hapo ni mambo ya MW - Medium Wave, SW - Short Wave na LW - Long Wave.

Hahaaaaaaaaaaaaa unanikumbusha mbali sanaaaaaaa!!
 
old_radio.jpg

Nakumbuka Radio kama hii... Bado ipo home na inafanya kazi, ila ahishiki radio fm... hapo ni mambo ya MW - Medium Wave, SW - Short Wave na LW - Long Wave.
nakumbuka niliivunja radio kama hii ya mzee (baba yangu) hajui mpaka leo nani aliivunja... :target:
 
Back
Top Bottom