Clouds FM yaishambulia JamiiForums

Kibonde na mwenzake hakuna hata mmoja aliyesomea taaluma ya uhandishi w habari ni ujanja wa mjini ndio unawafanya waihi, kibonde anategemea kazi ya MC na huyo mwenzia anategema biashara za mkewe wake akiwa kwenye kipindi cha jahazi huwa muda wote ana promoti kazi za mkewake, asipo kuwa studio utamkuta anashinda kwenye pub ya mkewe pale sinza na nduguze wanasimamia biashara ya shemeji.

Kibonde ni mtoto wa nje ya ndoa na pia alisoma muhimbili primary alimaliza 1989 baada ya hapo sijui alikwenda shule gani ya sekondari kipindi hicho walikuwa wanakaa upanga karibu na skauti.
Mwenye data zaidi aendeleze
 
Unajua fani ya utangazaji bongo imekuwa kama usanii, kwa kusikika redioni jamaa hawa wanajiona matawi kinoma. kibaya zaidi badala ya kutangaza habari nzuri za mambo ya maana. wanakaa wanapiga porojo za vijiweni. Hawana kitu hawa kazi kujipendekeza tu kwa watu.

Wale wale!
Tafadhali tufikili japo kwa dakika moja,na tuache kukurupuka.
CCM,kwa hivi sasa kama chama ina program ya kuchangisha michango kutunisha mfuko wake wa fedha za chama kutoka kwa wanachama,wapenzi na wengineo kama vyama vingine mfano CCJ ambao wao ndio walio anza katika mitandao.Fedha zinazo patika zinatumika kukiimalisha chama hasa kipindi hichi cha uchaguzi,mambo yanayo fanyika ni kama kutengeneza Matangazo ya radio na TV ,kununua magari,pikipiki na ,kudhamini vipindi vya radio (mfano JAHAZI)mengineyo(kuna Tangazo moja la CCM amefanya Regina Mwalekwa wa Radio 1,mbona huyu amumsemi ndoa yake?)
Clouds Fm ni kituo cha Radio ambacho maslai yake yanapatika kwa matangazo kama ilivyo JF,KIBONDE na GARDENA wao ni waajiliwa tu wa Radio watafanya au kusema lolote kama wadhamini wa kipindi chao wataona inafaa.sasa kuangusha shutma na mambo yao ya siri kuyaleta hapa ni kukosa utu.Tafadhalini jamani tufikiri japo kidogo
 
....Gadner anategema biashara za mkewe wake akiwa kwenye kipindi cha jahazi huwa muda wote ana promoti kazi za mkewake, asipo kuwa studio utamkuta anashinda kwenye pub ya mkewe pale sinza na nduguze wanasimamia biashara ya shemehicho walikuwa wanakaa upanga karibu na skauti.
Mwenye data zaidi aendelezeji...
Duh! hii kali mkuu, ameibeba familia yake kwa utajiri wa mkewe?
 
Tatizo ni kuwa wao wameamua kuwa CCM na yoyote mwenye mawazo hasi na CCM kwa mtazamo wao hafai, naona uelewa umewapita kushoto.
 
Kibonde na mwenzake hakuna hata mmoja aliyesomea taaluma ya uhandishi w habari ni ujanja wa mjini ndio unawafanya waihi, kibonde anategemea kazi ya MC na huyo mwenzia anategema biashara za mkewe wake akiwa kwenye kipindi cha jahazi huwa muda wote ana promoti kazi za mkewake, asipo kuwa studio utamkuta anashinda kwenye pub ya mkewe pale sinza na nduguze wanasimamia biashara ya shemeji.

Kibonde ni mtoto wa nje ya ndoa na pia alisoma muhimbili primary alimaliza 1989 baada ya hapo sijui alikwenda shule gani ya sekondari kipindi hicho walikuwa wanakaa upanga karibu na skauti.
Mwenye data zaidi aendeleze

Shiiiiiiiiiiiiiiiii, kwanza CV....Mbona hakuna anayezibandika au kweli debe tupu aliachi kuvuma?
 
Ebwana nimeimind hio ishu, bahati mbaya clouds hawapo hewani hapa moro kwa siku kadhaa sasa, ila sishangai kuona hao washakaji wakiiponda JF na mada zake, ila watambue kuwa JF ni mtambo wa kurekebisha tabia na kuhabarishana ishu za maana, kama wameona hayo kimpango wao na hawalazimishwa kuji login.
 
...mbona kama wamepatia?? ;);):confused:

tena wamepatia sana ndugu yangu!tunabisha kitu gani na tunafanya kitu gani!?tumeanza kuwajadili wao na wake zao(sijui hata wanahusikaje hapa) wakati hiki ndo walichokua wakikisema kwenye ka-redio kao.yani hapa wanatucheka na kujiona babu kubwa kujadiliwa na vichwa vikali vya JF.to some extent wana point(coz hata hapa tume/tunajadili their personalities).This is so low guyz,hebu tuipeni JF hesima na hadhi ile iliyovutia wengi kujiunga!samahani kama nimewakwaza.
 
Naomba post hii ifungwe rasmi maana kumjadili mtu mjinga ni hatari kama bom la atomic
 
Mtu ukiwa unaoga mtoni, halafu mtu mmoja akatokea na kuchukua nguo zako na kukimbia nazo utamfukuza?....fikirini sana wana jf....
Inatosha,tukiendelea kumjadili kibonde na clouds tutaonekana sisi ndio tuna matatizo,inatosha wakuu na poleni sana.
 
kuna mengi sana yanayozungumziwa hapa jamvini. Ni vizuri kumuelimisha kwa utaratibu mtangazaji huyo namna ya kuingia na kusoma mada mbalimbali ndani ya hii forum kisha kutoa maoni yake na sio kukurupuka.

Elimu ni suala muhimu kwake.
 
kuna jukwaa la maselebu,ambalo najua kwa namna moja ama nyingine wao wanahusika kwasababu wanapenda u-celebrity.sasa inapotokea celebrity mmoja anajadiliwa haina maana kama watu hawana hoja,ni kwamba hoja bado zipo na zinaendelea kujadiliwa,muda huo huo akiwa anajadiliwa mtu,ukiingia jukwaa la siasa,kimataifa,habari,sayansi,udaku,matangazo bado utakuta kuna mada na watu wapo wanamwaga pwenti tu,tatizo lao hao jamaa wanataka uwasifie tu ukiwakosoa basi hufai,na wanaingia humu mpaka waambiwe kuna mada inawahusu,na wakiingia wanasoma wakimaliza wakichomoka ndio basi tena kuingia tena mpaka waambiwe wameandikwa tena,sasa hapo watajuaje kama tunajadili pia mada zingine za maana??
 
Why wasting your resources (time, energy, financial, etc) discussing such low life creatures, Gadna and Kibonde Maji? Ha!
 
Nakubaliana kabisa na Nyani ngabu, Maranyingi huwezi kujadili theme bila kumjadili mtoa hoja yenyewe, au muhusishwa na hoja hiyo. Hii inamaana kuwa nivigumu kutenganisha. Huwa hoja inabeaba (character), tabia ya mtoa hoja hiyo.
Hawa jamaa hawana lakusema. Kwani kipindi chao hicho cha jahazi ni nini sana sana wanchojadili kama si upuzi na majungu matupu?
 
kwanza binafsi toka niwe mwana jamii a year ago, sijawahi na naaamini sitawahi kuona post yoyote itakayomzungumzia mtu flani personal..... hivi sivyo wana jamii walivyo...... na kuonesha ni jinsi gani JF ilivyokomaaa... kuna forums mbalimbali kwa mambo tofauti..... na zenye malengo tofauti..... ikiwa imetokea ukatajwa humu kwa mabaya au mazuri basi jua aliyekutaja hakukutaja kwasababu zake au zko binafsi swala hilo liligusa jamiii moja kwa moja.... kwa kifupi CLOUDS theye were overrated na wao wakaota mapembe, what they dont knw ni kuwa "NO MATTER what they will INSINUATE no one will have a gut to answer them back cause that's not why we are HERE

************************
ALWAYS KEEP YOUR HEAD UP WEN YOU WALK, BUT "CAUTION" TRY TO KEPP YOUR NOSE AT A FRIENDLY LEVEL
 
Mimi pia nilisikiliza kipindi na tatizo alilokuwa nalo Kibonde ni kwa nini wana JF wanaisema vibaya campaign ya CCM kuwaomba wanachama wao kuwachangia kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Kibonde alisema kakasirishwa na wanaJF kudiscuss watu badala ya kudiscuss hoja.

Aliongea kwa jazba sana na kejeli akisema watu wanaojifanya wasomi wanatumia muda mwingi kuwazungumzia watu kama yeye badala ya kujadili mambo ya msingi. In the and he ended up contradicting himself because he started to attack personalities, that is JF members instead of focusing on the issue.

Kibonde pia alikiri kuwa alipitia tuu JF kwa hiyo hakuwa na muda wa kusoma kwa makini hoja za wanajamii and he ended up making assumptions of what was actually discussed and put across. In my opinion he ended up looking like a fool instead of a smart person. Lakini kwa wenziwe wenye upeo mdogo alionekana katoa point.

Cha kuchekesha ni kuwa that same evening nikaona tangazo la Zain ambalo limemtumia Kibonde. Why would Zain want to associate themselves with someone like that! Baada ya kumuona kwenye tangazo, offer ya Zain hanivutii tena.

Kibonde just needs to slow down. Anahisi yuko juu, but October is only 6 months and we will have forgotten about him by then.
 
Moja ya mambo yanayowaangusha hata magwiji wakubwa duniani ni complacency.Ukiwa unadhani unajua sana kama anavyojiona Kibonde, naogopa kusema mbele yake atakutana na tatizo. Ni kweli asipitilize sana kama yeye ndio mjuaji sana wa mambo eti tu kwasababu anasikika hewani, maana ipo siku upepo utavuma direction nyingine atakosa wa kumpa maji apunguze kiu!
 
kumbe nao huwa wanaingia humu....lol..nimeipenda sana hii! kumbe yanawagusa moja kwa moja! hii imekaa vizuri sana. sasa kama mnaisoma hii natamka hadharani kuwa hamna lolote, si wewe kibonde, gadna wala hiyo redio yenu iliyojaza ngumbaru. JF mnalinganisha na Clouds, hebu acheni kutania majukwa yenye akili nyie vitwana.
 
HAWA JAMAA BWANA JF KAMA WEBSITE HAINA TATIZO... HAYA NI MAWAZO YA WATU WENGI TOFAUTI NA WENYE MITIZAMO TOFAUTI KABISA .HAWAWEZI KUNIZUIA MIE/WEWE NA HATA YULE KUSEMA FIKRA ZAKE

NB naona kama Thinking capacity yao ni ndogo sana !
 
Back
Top Bottom