Kaitaba
JF-Expert Member
- Jun 30, 2009
- 915
- 54
Jamani wekeni picha za maana sio vikatuni kama hiki, ebo!!!!huyu nae yupo juu pia ila hamfikii Irene
![]()
Jamani wekeni picha za maana sio vikatuni kama hiki, ebo!!!!huyu nae yupo juu pia ila hamfikii Irene
![]()
Hii thread ilipaswa kuleta ujumbe gani?
Mzuri Bimkora??? ahaaaa😀Hana uzuri wowote ule...Yani mimi nimemtazama nikaona kama wengi wenu bado vipofu...😀
mkuu maane ni PM basi mkuu nitumie picha za binti yako mpaka hapa nishammaind bro ukizingatia wewe GREAT THINKER mwenzangu tutaelewana tu,serious mkuu nitumie au hutaki mkwe GREAT THINKER mkuu🙂Wa kawaida huyo, hawezi kumfikia binti yangu!!! Ni bomba kama mama yake na kuzidi!!! Mama yake angeshiriki umiss enzi hizo ni lazima angeshinda tu!!! Hata sasa hivi wenye wake ingebidi na sisi tupambanishe vifaa vyetu, ni vimodo ile mbaya. Ili mradi usikute unamlisha vitimoto na minyama na bia, basi tumbo utafikiri anasubiri kuingia leba wodi!!! Tengeneza mkeo na mabinti zako umwambie mke wako awafundishe namna ya kula kwa afya na kutengeneza figure naturally. UIsipofanya hivyo mapema basi wataenda kununua ya kichina.
Huyu mtoto mke wa mwanandinga Ndikumana wa kule Cyprus raia wa Rwanda kwa kweli ana mvuto wa kipekee mie huwa naangalia movies zake zote alizoshirikishwa ni kifaa cha ukweli
![]()
![]()
Hebu check hilo tanasamu lenye bashasha
![]()
Hapa kiwa katika one of the movie scene
![]()
![]()
Siku ya harusi yake alipendeza sana
Wenye picha zaidi za huyu staa na wengine kina aunty, wema, johari nk wekeni kwenye thread hii...
But hiyo ya kuvuta punda, ni bint alitakiwa kuvutwa au huyo njomba kama ilivokaa! mie imenichanganya kidogo
Uzuri wa mkakasi.............
Irene anaishi Mbezi beach maeneo ya makonde anaetaka namba yake aniPM