Recent content by Kiumbe duni

  1. K

    Magazetini leo

    Siku zote huwa nawashangaa sana watu ambao ni wavivu wa kufikiri, ukitaka kuanzisha chama, kampuni,nk ni lazima uwe na watu wa karibu ambao mnaaminiana mshirikiane ili kufanikisha lengo. Kwa hiyo basi ndio maana CDM ipo imara mpaka sasa sababu haikuchukua watu ili mradi kuirizisha jamii...
  2. K

    Inakuwaje Filamu za ngono zinauzwa hadharani...?

    Mimi nazitafuta kweli sizipati, hebu nisaidie nitazipata duka gani maana hizi wanazouza wamachinga sio nzuri mara ukute hazionyeshi mara picha ni zilezile mara fupi kwa kifupi hazina ubora. Kuangalia picha hizi ni sawa na kutafuta maufundi zaidi, kama ww hutaki kuzinunua upate maufundi vijana...
  3. K

    Serikali funga kampuni ya tigo

    Humu jf ukiongelea suala lolote baya kuhusu tigo hata kama ni la kweli unapondwa ile mbaya, hata ukitaka msaada wowote kuhusu tigo husaidiwi, sijui kwa vile ndio wadhamini humu ndani au wameweka watu wao wawalinde yote sijui.
  4. K

    Kama una m 9 nione sasa hivi hutalipa tena kodi ya chumba

    Naomba mniwie radhi nilisahau kutoa taarifa kwamba biashara imeshafanyika tokea tar...21/02/2012, kwa hiyo mnaopiga simu kuulizia hili eneo limeshauzwa. Wale waliokuwa wanalihitaji wakafuata ushauri mbovu wa watu wataendelea kukosa vitu vya maana kwa ujinga wao. Eneo limeuzwa m12 nikapewa m2 na...
  5. K

    wateja elfu 5 wahama AIRTEL ONYOOOO

    Kwani sisi ni wapemba?.
  6. K

    Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

    Kawaida ukiwa na mazoea ya kulala huku unaangalia juu ni lazima ukiwa usingizini unaona kama kuna kitu kinakukaba, kumbe si hivyo ni shingo itakuwa umeibana kwa hiyo pumzi itakuwa ndogo wengine wanadai ni jinamizi si kweli. Ukishindwa weka mkaa chini ya mto tatizo litakuwa limeisha kabisa.
  7. K

    Wahindi wahama Moshi

    Nakutakia mafanikio mema ktk harakati zako za ukombozi. Usisahau kutuletea mnyama mkali mwenye majina lukuki mdudu, kitimoto, n.k ukioenda unaweza kumwita Noah.
  8. K

    Kama una m 9 nione sasa hivi hutalipa tena kodi ya chumba

    Kwa hilo jina tu Ndechumia (twende tembea) inaonyesha upo moshi. Changamka hamia Dar.
  9. K

    Msaada juu ya kubadili mkataba

    Kuna ndugu yangu eneo lake limekodishwa na kampuni ya tigo kuweka mnara. Kutokana na kutokuifahamu lugha ya kiingereza akaingia mkataba unaombana ambapo walikubaliana atalipwa laki 5 kila mwezi kwa mwaka, na ktk kodi yake itakatwa kodi 10%. Walisaini nae mkataba wa miaka 20 na wakamwambia kila...
  10. K

    Msaada juu ya malipo ya minara

    Ahsanteni sana kwa mawazo mazuri, kitu nilichogundua ni kwamba wazungu wameshagundua udhaifu wetu kwa hiyo hawatumii nguvu kutulaghai, wanawatumia watanzania wenzetu kutulaghai. Huwa wanakubali kupewa kitu kidogo ili kutushawishi kuingia mikataba mibovu, wanaona ni bora wapokee kidogo kuliko...
  11. K

    Nlijua tu, nini kitatokea............

    Baada ya kusikia matangazo meengi ktk mechi iliyopita kati ya Yanga na Zamalek yanatangazwa na wapiga hela nikajua tushaumia. Hiv umati wote ule na hela tuliyotangaziwa vinaendana kweli...!
  12. K

    Serikali funga kampuni ya tigo

    Msimbeze mtoa mada, kuna uwezekano mkubwa hii kampuni imeshauzwa, baadhi ya ofisi zao zimeshahamishwa na minara yao wameshaiuzia kampuni kutoka nje inayoitwa HTT Infranco limited. Si mnaona jinsi walivyo na dharau kwa wateja wao, sababu wanajua hawana watakachopoteza.
  13. K

    Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

    Nimeingia kwa puupaa, kumbe hamna lolotee. Mtu mzima hovyoo..., hata hivyo vichwa vya Tanga kuvielimisha ujitahidi kweli.
Back
Top Bottom