Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

Naona wadau wamekupa ushauri mzuri. Nami nisisitize tu:
1. Epuka kula vyakula vizito usiku. Mfano ugali au makande. Kwani digestion yake inakua tabu kwa vile usiku hufanyi shughuli ngumu kama za mchana ambazo husaidia digestion kufanyika haraka.
2. Pia waweza zingatia kula mapema saa 2 usiku ili kuupa mwili muda wa kudigest chakula kabla ya kulala
3. Fanya mazoezi jioni utokapo kwenye mizunguko yako. Hata kwa muda wa nusu saa. Hii itakusaidia mwili kufanya digestion vizuri pindi utakapokula usiku.
4. Jenga mazoea ya kusali kwa Mungu wako. Na hii hisiwe kwasababu ya sasa kuhisi kukabwa usiku,bali iwe tabia yako ya siku zote. Tena kama una familia,msali pamoja na kumwoma Mungu awalinde na kuwapa usiku mwema. Mnapoamka mshukuruni na kumwomba awatangulie katika mizunguko yenu.

Hakika kwa mtindo huo pamoja na kuzingatia namba 1 hadi 3,pamoja na mawazo ya wadau,tatizo lako litaisha.
 
usikute unabugia sana chakula usiku tumbo linakuwa kama pakacha.....unabakia kulala chali....na pia jaribu kufanya mazoezi mara kwa mara.....
I had the same Idea, Afanye mazoezi kila siku, na kama umeshakuwa mkubwa basi jaribu kutafuta mwenza ili awe anashuhudia hilo tukio wakati mwingine ni uoga tu mkuu.
Jitahidi pia kuchuja pumba na mchele unavyoshauriwa hapa jamvini. Kuna vitu vingine, vinaenda na mtu mwenyewe unavyochukulia na kuamini. Kwa hiyo kama umeweza kufika JF, basi jaribu kugoogle utapata kesi kama hizo zilishawatokea wengine na majibu utayapata pia.
 
Jaman nimechoka kunyongwa usiku wa manane nikiwa nimelala mbali na hayo nyumba niyokuwa mwanzo nilihama nikidhan ni mikos ya hiyo nyumba, kumbe hata nilikohamia ndo hivyo hivyo nimeshauliza watu mbalimbali na walinipa majibu tofauti tofauti lakini mwishowe nikaambiwa njia pekee ni sala.nikawa nasali asubuh na jion kabla ya kulala lakin mambo yakawa ni yaleyale sasa sina hata hamu ya kuish kwa sababu naona sina msaada tafadhali nipen mawazo yoyote nitayafanyia kazi ili nami niweze kufurahia maisha kama wengine.NAWASILISHA!

Kama vipi kamata viroba kama vitano hivi kabla ya kulala, hata ukinyongwa hutasikia maana utakuwa umezimika.....pole sana kwa hiyo hali...
 
Baada ya kusali just amini kwamba maombia yamefanya kazi na hakuna zaidi ya Mungu,ukiendelea kufikiri kuhusu kunyongwa ndilo litakalo tokea mkuu!

Kweli kabisa. Kwani wakati mwingine saikoloji nayo uplay part katika vitendo fulani. Huenda saikolojia yake bado inamtuma katika kuamini hayo ya kukabwa.
Kama ndiyo hivyo pengine akawaone wanasaikolojia kwa msaada zaidi.
 
yaani mpaka jioni inapofika najisemea moyon kama ingewezekana usiku usiwepo kabisa kwa sababu hofu imenijaa ukizingatia umri wangu ni mdogo

Mkuu ondoa hofu hiyo kwani ndiyo inayokutesa. Mkuu una familia? Unaishi peke yako?
 
Kawaida ukiwa na mazoea ya kulala huku unaangalia juu ni lazima ukiwa usingizini unaona kama kuna kitu kinakukaba, kumbe si hivyo ni shingo itakuwa umeibana kwa hiyo pumzi itakuwa ndogo wengine wanadai ni jinamizi si kweli. Ukishindwa weka mkaa chini ya mto tatizo litakuwa limeisha kabisa.
 
Mkuu ondoa hofu hiyo kwani ndiyo inayokutesa. Mkuu una familia? Unaishi peke yako?[/QU sina familia na ninaish peke yangu ila kipindi cha mwanzo nilikuwa naish na wenzangu na hiyo hal ya kunyongwa ilikua inatokea usiku pia ninapoamka asubuh nawauliza mbona jana nilikuwa nawaita mnisaidie wanadai hawajasikia ki2
 
Wacha kulala uku umeshiba ndii. Hayo ni matokeo ya kuvimbiwa. Badilisha namna unavyokula na muda unaokula kabla ya kulala.
 
Kawaida ukiwa na mazoea ya kulala huku unaangalia juu ni lazima ukiwa usingizini unaona kama kuna kitu kinakukaba, kumbe si hivyo ni shingo itakuwa umeibana kwa hiyo pumzi itakuwa ndogo wengine wanadai ni jinamizi si kweli. Ukishindwa weka mkaa chini ya mto tatizo litakuwa limeisha kabisa.

Mkaa chini ya mto unasaidia vipi kutatua tatizo?
 
mkuu tafadhali nijuze yafuatayo ili nikupe msaada.wewe ni dini gan?una mke?NAYE ANASUMBUKA?upo mkoa gani?matatizo yalianza lini?hutokea mara ngapi kwa wiki?USIKATE TAMAA HAKUNA LINALOSHINDIKANA MBELE ZA MWENYEZI MUNGU.UNAJUA NGOJA NIKUELEZE UKWELI NDUGU.WEWE UMEFANYIWA MAMBO YA KISHIRIKINA(UCHAWI)KUMBUKA UCHAWI UPO NA HATA VITABU VYA MUNGU VIMETHIBITISHA HILO...PIA KUNA WATU WENYE UWEZO WAKUONDOA HAYO MASUALA YA UCHAWI...NIKIENDELEA KUZUMUMZA KUNA WATU WATAPINGA NA KUSEMA MIMI NI MWONGO....KAMA+UPO DAR,MORO AU TABORA KUNA WATU WAPO SEHEMU HIZO WANAWEZA KUKUSAIDIA.KI UKWELI UNAHITAJI MATIBABU YA KUONDOA UCHAWI....MIMI NILIPIGWA JUJU..NIKAENDA HOSPITAL WAKASEMA HAMNA TATIZO.NILIKUWA NAPOTEZA FAHAMU BILA SABABU,MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO.USIKU SILALI NI ROBA KWENDA MBELE!NASHUKURU SASA NAWEZA HATA KUPANDA HATA BAISKEL.
 
Nakubaliana na ushauri wa posti namba 18, Nakushauri fuata huo. Usijaribu kwenda kwa waganga. Yesu pekee ndio Jibu.Soma pia Efeso 6:10-18, Marko 16:16-18 na Luka 10:19.

Kulala na biblia sio jibu, neno la Mungu linapaswa kukaa ndani yako na ulitumie. Tumia Jina la Yesu na kemea hizo nguvu za giza na kujitoa maisha yako kwa kristo.

Na ukiweza tafuta kanisa la kiroho ongea na mtumishi unaweza kuhitaji pia kufunguliwa ni vyema kuwa mwangalifu na mtumishi unayeenda kwake pia.
 
mkuu tafadhali nijuze yafuatayo ili nikupe msaada.wewe ni dini gan?una mke?NAYE ANASUMBUKA?upo mkoa gani?matatizo yalianza lini?hutokea mara ngapi kwa wiki?USIKATE TAMAA HAKUNA LINALOSHINDIKANA MBELE ZA MWENYEZI MUNGU.UNAJUA NGOJA NIKUELEZE UKWELI NDUGU.WEWE UMEFANYIWA MAMBO YA KISHIRIKINA(UCHAWI)KUMBUKA UCHAWI UPO NA HATA VITABU VYA MUNGU VIMETHIBITISHA HILO...PIA KUNA WATU WENYE UWEZO WAKUONDOA HAYO MASUALA YA UCHAWI...NIKIENDELEA KUZUMUMZA KUNA WATU WATAPINGA NA KUSEMA MIMI NI MWONGO....KAMA+UPO DAR,MORO AU TABORA KUNA WATU WAPO SEHEMU HIZO WANAWEZA KUKUSAIDIA.KI UKWELI UNAHITAJI MATIBABU YA KUONDOA UCHAWI....MIMI NILIPIGWA JUJU..NIKAENDA HOSPITAL WAKASEMA HAMNA TATIZO.NILIKUWA NAPOTEZA FAHAMU BILA SABABU,MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO.USIKU SILALI NI ROBA KWENDA MBELE!NASHUKURU SASA NAWEZA HATA KUPANDA HATA BAISKEL.[/QU mimi ni mkristo Wa Rc ila sina mke ninaish peke yangu
 
Jaman nimechoka kunyongwa usiku wa manane nikiwa nimelala mbali na hayo nyumba niyokuwa mwanzo nilihama nikidhan ni mikos ya hiyo nyumba, kumbe hata nilikohamia ndo hivyo hivyo nimeshauliza watu mbalimbali na walinipa majibu tofauti tofauti lakini mwishowe nikaambiwa njia pekee ni sala.nikawa nasali asubuh na jion kabla ya kulala lakin mambo yakawa ni yaleyale sasa sina hata hamu ya kuish kwa sababu naona sina msaada tafadhali nipen mawazo yoyote nitayafanyia kazi ili nami niweze kufurahia maisha kama wengine.NAWASILISHA!

Samahani kama nitakukera kwa imani uliyonayo... Ila nauliza tu... Umejaribu kulala na mfupa wa kitimoto?

Jaribu kwanza leo,halafu lete majibu kesho....
 
Samahani kama nitakukera kwa imani uliyonayo... Ila nauliza tu... Umejaribu kulala na mfupa wa kitimoto? Jaribu kwanza leo,halafu lete majibu kesho....[/QU sijawah wala sijajaribu kwani mfupa wa kitimoto una kinga dhid ya wachawi?
 
Kama unanyongwa na Hufi, Leo uko hapa JF unapost thread kama kawa, SHIDA IKO WAPI???

Ingekua huko kunyongwa kuna madhara, basi leo usingekua hapa Mkuu wangu!!!

We waache wajisumbue hao "jamaa", mradi bado tupo pamoja hapa JF basi maisha yanakwenda
 
Back
Top Bottom