Kama una m 9 nione sasa hivi hutalipa tena kodi ya chumba

Kiumbe duni

Senior Member
Dec 3, 2011
100
8
Eneo 22/20 lomejengwa nyumba yenye vyumba viwili kimoja ni master, jiko, stoo, siting room na choo cha public ndani linauzwa. Nyumba hii bado kupaua tu, ipo bunju b mita 200 toka bagamoyo roa, unaenda na barabara iendayo Mabwe pande. Kutoka barabara ya Mabwepande ni mita 40. Inawafaa watu wa kipato cha chini sababu kiwanja kimebana. Bei ni M 9 haipungui hata kidogo. Wahi kabla hujawahiwa.
 
thanx mkuu, sasa je hilo pagale/nyumba ina hati?? au ofa?? pia weka picha yake kabisa kama front,back, side views.
pia weka na contact zako au zitume thru tukuyum@yahoo.com
 
Siku zote ukiona kiwanja au nyumba inauzwa bei rahisi namna hii jua hakijapimwa, ila hati miliki ipo. Kuweka picha haitakuwa na maana sababu kwa bei hii ni lazima ndani ya wiki hii itauzwa.
 
Thanx, basi nipe contact zako tufanye dili.
 
Ningekuwa dar ningechangamka faster,
watu wa dar hapo ndo kujikomboa.

HAKUNA BABA AU MAMA MWENYE GARI, ILA MWENYE NYUMBA-"mpoki"
 
Kwa hilo jina tu Ndechumia (twende tembea) inaonyesha upo moshi. Changamka hamia Dar.
 
Eneo 22/20 lomejengwa nyumba yenye vyumba viwili kimoja ni master, jiko, stoo, siting room na choo cha public ndani linauzwa. Nyumba hii bado kupaua tu, ipo bunju b mita 200 toka bagamoyo roa, unaenda na barabara iendayo Mabwe pande. Kutoka barabara ya Mabwepande ni mita 40. Inawafaa watu wa kipato cha chini sababu kiwanja kimebana. Bei ni M 9 haipungui hata kidogo. Wahi kabla hujawahiwa.

Ina hati? Kiwanja ni cha kienyeji au cha serikali?
 
Ningekuwa dar ningechangamka faster,
watu wa dar hapo ndo kujikomboa.

HAKUNA BABA AU MAMA MWENYE GARI, ILA MWENYE NYUMBA-"mpoki"

Mkuu sisi tuko hapa mjini panaitwa bongo,hatukurupuki kama wewe kwa kukimbilia bei rahisi,unaweza kupigwa mpaka ukazimia,wangapi wamenunua nyumba zilizojengwa juu ya bomba la serikali la maji,ndani ya hifadhi ya barabara,au kwenye eneo lililotengwa kwa ajili ya viwanja vya mpira,ndio maana tunamwuliza kama ana hati miliki au offer.
 
Naomba mniwie radhi nilisahau kutoa taarifa kwamba biashara imeshafanyika tokea tar...21/02/2012, kwa hiyo mnaopiga simu kuulizia hili eneo limeshauzwa. Wale waliokuwa wanalihitaji wakafuata ushauri mbovu wa watu wataendelea kukosa vitu vya maana kwa ujinga wao. Eneo limeuzwa m12 nikapewa m2 na mwenye eneo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom