Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

Ccm wafikiri kwa tumbo kiama chao kinakuja tutawapiga mijiti kama ghadafi wapate choo maana wote mitumbo mbele
 
Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.

IMG_3819.JPG

Una utani na NAPE wewe ushaona CDM ina njano na kijani? Angalia kushoto kwa huyo gamba aliyepiga magoti!
 
Mi nilijua kwa kuwa unaongea sana basi utakuwa na ushahidi wa kutosha lakini hata picha hatujaona matokeo yake umeeneza propaganda za siasa
 
Una utani na NAPE wewe ushaona CDM ina njano na kijani? Angalia kushoto kwa huyo gamba aliyepiga magoti!

Na nyie muelewage mapema eeeh! Huyo aliyepost hii picha sio kwamba hajui hao ni CCM bali ameweka hayo maneno kumkejeli muanzisha mada ambaye hana akili hata kidogo. Kwa hiyo hakuna ulichovumbua hapo, ni vile tu umekuwa mgumu wa kuelewa kuwa hiyo ni kejeli na sio anachomanisha
 
Nahisi bado hujakomaa akili, hivyo si vizuri kupingana na wewe. Nisubiri utakapo pata ukomavu wa akili ndo tuendelee
na hoja yako.

Akili ambayo haijakomaa ni ya kwako ambayo imeshindwa kutambua kuwa huyo Mrs.Mzumbe unayebishana naye hana akili hata kidogo.

Siasa za CCM hazihitaji akili, ni tumbo na mdomo tu
 
Una utani na NAPE wewe ushaona CDM ina njano na kijani? Angalia kushoto kwa huyo gamba aliyepiga magoti!
mkiambiwa haziuzwi chini ya miaka 18 hamsikii,angalia ulivyolewa vibaya sasa.***** wewe.
 
Nimeingia kwa puupaa, kumbe hamna lolotee. Mtu mzima hovyoo..., hata hivyo vichwa vya Tanga kuvielimisha ujitahidi kweli.
 
Yaani mtu na §&%* zake timamu unakuwa mwanachama wa CDM.??Bora NCCR kuliko ili zimwi likujualo.

Jana nilikupa angalizo juu ya uwezo wako wa kufikiri. Leo ngoja nikuongezee jambo:
Lugha ndio kitu rahisi zaidi mtu kujifunza kuliko siasa. Na ndio maana utaona mtoto mdogo anazaliwa na cha kwanza kujifunza tena akiwa katika umri mdogo ni LUGHA. Kujua kwa mtoto kuitumia lugha ya jamii yake ni kiashiria cha mapema cha uwezo wa mtoto wa kuelewa na kutafakari mambo. Kinyume chake, mtoto aliyechelewa kuongea na kuitumia lugha vyema huitwa zoba.

Ndugu yangu Mrs.Mzumbe, kama sehemu ya kusema MMEKWENDA unasema MUMEKWENDA hii ni dalili kuwa uwezo wako wa kuelewa ni mduchu mno. Nina mashaka bado unasema MMA badala ya MAJI sasa juu ya nini ujiingize kwenye siasa ambayo ni full of proverbs? Kwenye siasa, mwanasiasa husema A akimaanisha B jambo ambalo huitaji akili kumuelewa na kufanya uamuzi sahihi. Sasa wewe uliyefeli LUGHA (means mwanangu Juinior anakushinda) utawezaje kuelewa siasa?

Mimi nikushauri na niwashauri CCM waliokutuma kuwa utafute shughuli nyingine. Unajikanyaga mno. Umejinadi kuwa media mbali mbali zimetoa picha zilizoonesha jinsi mikutano ilivyokuwa hovyo na full watoto. Mpk leo kimya hakuna picha, sanasana wenye akili zao wamekupostia za Magamba na bado huna aibu unaendelea kubishana na wenye akili.

Huoni aibu?

Sio wewe uliyeahidi kuzipost hapa?

Huna hata chembe ya akili ya kukuwezesha kujua kuwa wewe ni mjinga kwa hiyo utafute tiba?
 
Mleta hoja una akili sana, tunaomba maoni yako kuhusu yaliyojiri jana Songea.
 
View attachment 47979 View attachment 47980

Maelezo ya picha No 1.
Wananchi wa Korogwe wakiwa wamembeba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Manundu, mkoani Tanga, jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Laurent

Maelezo ya picha No 2.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Muheza mjini, mkoani Tanga juzi. Zitto yupo mkoani humo kwa ziara ya siku tano kufanya miikutano ya kuimarisha chama chake. Picha na Mtera Mwampamba

Mzumbe aibu yako aibu ya Nape, haya sema sasa, kwa ushahidi huu wewe na Chadema nani mwenye kimbelele?
 
Kuipenda CCM inabidi uwe na akili za kiuwendawazimu hivi. Hivi mtu mwenye akili timamu unawezaje kupenda genge la wanyanganyi? Lazima uwe mmoja wao.
 
MTOA mada, tambua wazi kuwa watanzania wengi hususani waswahili hawapendi kusikia mambo ya msingi mf.ukweli kuhusu kilima,ufugaji,uvuvi na biashara.wanapenda sebene za Diamond na wengine kama hao.CDM inazungumza ukweli na wanaoujua wanawakubali.Watoto pia wanautu na haki ya kuhudhuria na kushiriki la msingi tuu ni kwamba hawapigi kura.Na pia watoto ni watoa habari kwa wazazi na walezi wao.CDM is always structured and coordinated. Follow the river to get the fruits.
 
CCM VS CHADEMA kuna shida kila kundi full propaganda lakini ukweli unabaki kuwa wazi wananchi wana kiu ya mageuzi.
 
Mwandishi ana kiswahili cha mtu asiyejua kusoma wala kuandika

CDM hovyo kabisa!!bado mulete fact,mng'ang'ania mwandishi hajui kiswahili....kama huu ndio utetezi basi mutaendelea kupata kula za kaskazini miaka yote...
 
Mwandishi ana kiswahili cha mtu asiyejua kusoma wala kuandika

CDM hovyo kabisa!!bado mulete fact,mng'ang'ania mwandishi hajui kiswahili....kama huu ndio utetezi basi mutaendelea kupata kula za kaskazini miaka yote.
 
CDM hovyo kabisa!!bado mulete fact,mng'ang'ania mwandishi hajui kiswahili....kama huu ndio utetezi basi mutaendelea kupata kula za kaskazini miaka yote.

Halafu CCM inajidai ina Mtaji wa Wanachama Milioni Nne. Kama Wanachama wenyewe ndio wa Sampuli hii hata Kuandika KISWAHILI hawajui CCM Mna Kazi sana
 
Jana nilikupa angalizo juu ya uwezo wako wa kufikiri. Leo ngoja nikuongezee jambo:
Lugha ndio kitu rahisi zaidi mtu kujifunza kuliko siasa. Na ndio maana utaona mtoto mdogo anazaliwa na cha kwanza kujifunza tena akiwa katika umri mdogo ni LUGHA. Kujua kwa mtoto kuitumia lugha ya jamii yake ni kiashiria cha mapema cha uwezo wa mtoto wa kuelewa na kutafakari mambo. Kinyume chake, mtoto aliyechelewa kuongea na kuitumia lugha vyema huitwa zoba.

Ndugu yangu Mrs.Mzumbe, kama sehemu ya kusema MMEKWENDA unasema MUMEKWENDA hii ni dalili kuwa uwezo wako wa kuelewa ni mduchu mno. Nina mashaka bado unasema MMA badala ya MAJI sasa juu ya nini ujiingize kwenye siasa ambayo ni full of proverbs? Kwenye siasa, mwanasiasa husema A akimaanisha B jambo ambalo huitaji akili kumuelewa na kufanya uamuzi sahihi. Sasa wewe uliyefeli LUGHA (means mwanangu Juinior anakushinda) utawezaje kuelewa siasa?

Mimi nikushauri na niwashauri CCM waliokutuma kuwa utafute shughuli nyingine. Unajikanyaga mno. Umejinadi kuwa media mbali mbali zimetoa picha zilizoonesha jinsi mikutano ilivyokuwa hovyo na full watoto. Mpk leo kimya hakuna picha, sanasana wenye akili zao wamekupostia za Magamba na bado huna aibu unaendelea kubishana na wenye akili.

Huoni aibu?

Sio wewe uliyeahidi kuzipost hapa?

Huna hata chembe ya akili ya kukuwezesha kujua kuwa wewe ni mjinga kwa hiyo utafute tiba?

Mbona picha tayari zimeshapostiwa na kwenye post ya 5 au 6.
Baada ya CDM kuishiwa hoja wote mmekimbilia kwenye LUGHA.Kweli akili zenu kama za mbayuwayu.Jaribu kum-pm PADRI SLAA aje kuchangia labda anaweza akakomenti kitu cha maana.
 
Mkuu Na Wewe ni CCM? Mbona wenzako akina Mwigulu, Kigwa wamesoma wewe Ulikimbia Umande itakuwa
 
Mbona picha tayari zimeshapostiwa na kwenye post ya 5 au 6.
Baada ya CDM kuishiwa hoja wote mmekimbilia kwenye LUGHA.Kweli akili zenu kama za mbayuwayu.Jaribu kum-pm PADRI SLAA aje kuchangia labda anaweza akakomenti kitu cha maana.

At last umemkubali kuwa anakomenti vya maana........NICAMPOON
 
Back
Top Bottom