Msaada juu ya kubadili mkataba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada juu ya kubadili mkataba

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kiumbe duni, Feb 26, 2012.

 1. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna ndugu yangu eneo lake limekodishwa na kampuni ya tigo kuweka mnara. Kutokana na kutokuifahamu lugha ya kiingereza akaingia mkataba unaombana ambapo walikubaliana atalipwa laki 5 kila mwezi kwa mwaka, na ktk kodi yake itakatwa kodi 10%. Walisaini nae mkataba wa miaka 20 na wakamwambia kila baada ya miaka mi5 watakaa mezani kujadili upya kodi. Baada ya miaka mi5 kupita akawafuata ili wajadiliane kodi wakamwambia hakuna kipengele hicho kwenye mkataba wao. Kweli mkataba wake unasema ktk hiyo miaka 20 kodi itakuwa automatically renewed kila baada ya miaka mi5 ya bila badiliko la kodi.
  Maswali yake ni kama yafuatayo:
  (1) Afanye nini ili aweze kuubadili mkataba huu.
  (2)Kama akiuza eneo lake anaweza kupata tatizo lolote.
  Wadau msaada wenu unahitajika. Nawasilisha
   
 2. B

  Bandio Senior Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikiri ni mfano wa mikataba katika sekta ya madini na nishati ambayo inaigharimu nchi kwa sasa.
   
Loading...