Wadau wa blog huwa mie napenda sana kuanza kazi na kuimaliza na ndio maana huwa nakaa pembeni mara nyingi,mie nina idea moja ambayo tukiinzisha le tutapata matunda hata kama ni kidogo kama nchi za waatu walioendelea:
TUSUSIE:
1. TBC- ZAWADI YA TIDO MUHANDO
2. HABARI LEO -ZAWADI KWA LOWASSA...
7th May 2009b-pepeChapaMaoniKwa mara ya kwanza katika historia ya utendaji kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini, umma umeonyeshwa maofisa wake vielelezo vya madai kutoka kwa `msamaria mwema`.
Msamaria mwema huyu ni Rostam Aziz ambaye ametuhumiwa na Mwenyekiti...
Natamani kufa sema basi tu mimi ni kifo!
1. Dr. J.J.Kyaruzi naye ni mtaalamu wa smart card!!??Do you know PhD yake aliyofeli ilikuwa ya nini?? Alikuwa anafanya PhD ya smart card kwa ufadhili wa UDSM-amefeli masomo(hakumaliza PhD),amefeli mradi wa smartcard udsm,amefeli kufanya research...
WanaJF, mimi nasikitishwa sana na tabia inayojenga mizizi hii channel ten ya kutopangilia vipindi vyao na kusababisha kutuonyesha mechi recorded wakati wao wana license ya kutuonyesha watz live. Najua kuwa kuna DSTV lakini kwa wengi wetu channel ten tuliona mkombozi wetu katika show hii ya TV.
Date of Birth
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Georgetown University Law Centre LL.M 1992 1993 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1987 1991 GRADUATE
New Rochelle Academy High School Diploma 1981 1986 HIGH...
kuna siku mimi nilisema dr. Dau ni hafai kuwa kiongozi,jf mkanishambulia sana lakini inshalaah sakata lake na dr. Masau linaendelea na mtagundua mengi. Mtanzania wa leo mwenzako akikuuma sikio tafakari kwanza na kisha tafiti halafu malizia. Mimi nimefanya kwenye mashirikia matatu ambayo...
kuna siku mimi nilisema dr. Dau ni hafai kuwa kiongozi,jf mkanishambulia sana lakini inshalaah sakata lake na dr. Masau linaendelea na mtagundua mengi. Mtanzania wa leo mwenzako akikuuma sikio tafakari kwanza na kisha tafiti halafu malizia. Mimi nimefanya kwenye mashirikia matatu ambayo...
Kwanza nawasilimu kwa masikitiko ya hotuba isiyo na tija kwa taifa ya JK,natumaini mtaitafakari na kupata maoni mazuri hapa. Langu kubwa leo hii ni kutoa masikitiko hasa juu ya hii blog ya The Utamu,nadhani kwa mtazamo wangu haina tija kama hotuba ya jamaa,imefikia sehemu zinatumwa picha ambazo...
Mrema ilipostiwa mahali ambako nadhani isingepata attention inayostahili. Je, hapa kuna ufisadi?[/B]
NASHUKURU HILO LA MREMA WA TANROADS LIMEKUJA MANAKE WATU WALINISHANGAA SANA NILIVYOANZISHA THREAD YA CV ZA MACEO WA SERIKALI. WENGI WAKAANZA KUNILAUMU. LAKINI MTAONA FAIDA YAKE JAMII FORUM KUWA...
WanaJF,
samahanini kwa kuwa kimya sana. Nimerudi leo kutoka likizo ya kijijini kwetu. Leo nina jambo moja naomba tuchambue na kupanga CV za maCEO waserikali ili tupate angalau asusa zao. Mie nitatoa muongozo
1. Dr Dau (NSSF) - huyu ndio mfuko mkubwa wa Manji na ndio mmojawapo anayempa jeuri...
Hivi Ni Kwanini Tunakaa Kujadili Tuu Kila Siku Why Dont We Start Something Like A Movement........hata Ikiwezekana Kampeni Yakupiga Mawe Hao Mafisadi Ianze Mpaka Wafe Kama Vitabu Vya Dini Vinavyoagiza?? Kwa Yona Tunapajua,mkapa Halikadhalika Jirani Na Manji Na Magari Na Mali Zao Tunazijua Why...
WANAJF MIMI NASHANGAA SANA KUONA KUWA WATU KAMA DR. DAU BADO WAKO MADARAKANI:
1. ANAHUSIKA KUHAKIKISHA MANJI ANAKOPESHWA BILA MASHARTI 9B
2. ANAHAKIKISHA MANJI ANAUZA MRADI WA 9B KWA 39B KWA NSSF
3. ANAHAKIKISHA MADARAKA NDANI YA NSSF YANAENDA KWA UDINI
4. ANAWAPUMBAZA WAANDISHI WA MAGAZETI...
izihaka umenikuna mpaka nimezinduka toka usingizini na kukumbuka nikiwa pale mlimani huyo Kyaruzi aliyetajwa kama mshauri wa serikali katika vitambulisho hivyo ni yule aliyekuwa na mgogoro na chuo cha uholanzi kwa kujiita Dr wakati hakumaliza phd yake na sio hivyo tu, alikiingiza chuo kikuu cha...
Wadau inasikitisha sana kuona kuwa tuna kocha kutoka moyo wa soka duniani (brazil) lakini bado tukawa kama alivyotukuta na tabia za kubadilibadili timu tukihofu kuwa timu tuliyonayo sio nzuri!! Hebu tuchukulie mfano mchezaji 'Machupa' aliitwa timu iliyopita na hakucheza mechi ametemwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.