Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
Kwanza kabisa hiki ni kitu cha kukemea kwa nguvu zote kwa sababu moja picha nyingi za utupu ni picha ambazo wame edit ukiangalia picha ya yule miss Tz aliyepita kiwiliwili sio chake sura ndio yake,wengine sina uhakika inaweza kuwa kweli.

Picha zingine vimetolewa sehemu kama Hi5 na kuwekwa pale mtu wanamjadili ,sasa hii mbaya sana ,inachukuliwa picha inawekwa watu wanakuchambua,duh noma.

Kwangu tatizo kubwa ni kuwa huu utaratibu inaweza kufikia ukaona picha ya mkeo mule au hata mwanaume unaweza kuona picha yako mule unapewa kitu maana nimeona mpaka za gays kwa sababu za kuchukiana .Hii ni challenge kwetu tukiliachia hili litakuja kutudhuru mbeleni
 
Naunga Mkono Hoja Nakemea Tabia Hiyo Kwa Jiana Yesu,asmbalatisha Hao Mabalozi Wa Shetani Natangaza Balozi Zao Kufungwa Sasa Kwa Jia La Yesu
 
...mmesoma RISASI la leo? 'usafi unaanzia nyumbani kwanza.'

http://www.globalpublisherstz.com/2008/08/13/kigogo_awapiga_warembo_picha_chafu..html
 
Jamani kila mtu mwenye kupenda amani amekuwa akilalamika juu ya hizi blog (UTAMU na WAKEREKETWA). Niliahidi katika thread yangu iliyopita kuwa nitafuatilia kujua ni nani anahusika na kubomoa maisha ya watu all over the universe. Kuna mtu amenidokezea kuwa Erick Shigongo anahusika kwa njia moja au nyingine. Mie binafsi sipendi UDAKU ila nilikuwa nauliza kama kuna mtu ana uelewa wowote kuhusu hilo wakati tukisubiri uchunguzi ukiendelea.

Mtu yeyote akifahamika kuwa ndiye mhusika wa hizi blogs tutamfanya famous ili kila mtu amtambue LIFE WRECKER.
Uchunguzi bado unaendelea na taratibu za kisheria zinaendelea.
 
usherati uliokithiri ... mtu ukijiheshimu ukakaa nyumbani ukawa mwaminifu kwa mume au mkeo watakupata vipi ... wanayataka wenyewe wana wa shetani hao wasotulia .. wasoheshimu miili yao kwani miili yetu ni sehemu ya ibada .. wakristo husema nyumba ya Mungu ... waislam ... la takrabu zinaaaaaa .... na aibu iwapate ... wadhalilike tu ..
 
Swadaktaaa..!!! dada naimaomari nimekupata haya ndio maneno wengine wanaangalia matawi sio mzizini mwa tatizo......ukiangalia picha nyingi sio za adobe photoshop ni real pics na inajulikana biashara za wengine huko walipo.....So tufunge blogs zile au tusali na kukemeana na tabia zetu za kinyume na maadili....

wengine wanalaani blogs zile labda kwa kuwa wako mbali na jami yetu ya kitanzania....waje waone watoto wa shule sasa hivi walivyo utafikiri wametiwa funguo....kisa dada,kaka,mama na baba zao mule mule na wao wanaiga.....
 
Jamani kila mtu mwenye kupenda amani amekuwa akilalamika juu ya hizi blog (UTAMU na WAKEREKETWA). Niliahidi katika thread yangu iliyopita kuwa nitafuatilia kujua ni nani anahusika na kubomoa maisha ya watu all over the universe. Kuna mtu amenidokezea kuwa Erick Shigongo anahusika kwa njia moja au nyingine. Mie binafsi sipendi UDAKU ila nilikuwa nauliza kama kuna mtu ana uelewa wowote kuhusu hilo wakati tukisubiri uchunguzi ukiendelea.

Mtu yeyote akifahamika kuwa ndiye mhusika wa hizi blogs tutamfanya famous ili kila mtu amtambue LIFE WRECKER.
Uchunguzi bado unaendelea na taratibu za kisheria zinaendelea.

Una mawazo kama yangu, hizo blog kwa namna moja au nyingine zinahusiana na magazeti ya Global publishers, nasema hivyo kwa sababu
1. Picha zinazotumika kwenye global publishers newspaper baadhi tunaziona kwenye hizo blog, tena zikiwa full ikiwa na maana kuwa mhusika wa blog alizipata kama zilivyo!
2. Imekuwa ka tabia sasa ka Magazeti hayo kunukuu story toka kwa wachangiaji wa blog hizo na kuuza magazeti yao kitu ambacho kimenipelekea mimi na baadhi yetu kuhisi kuwa wanatumia au wanamiliki blog hizo ili kupata habari za kuandika kwenye magazeti.
Hii kitu kama ni kweli basi ni mbaya maana tunakuwa tumevuka u-binadamu, japo siwezi comment kwa yanayoandikwa maana sifahamu ukweli wake.
 
Kwanza nawasilimu kwa masikitiko ya hotuba isiyo na tija kwa taifa ya JK,natumaini mtaitafakari na kupata maoni mazuri hapa. Langu kubwa leo hii ni kutoa masikitiko hasa juu ya hii blog ya The Utamu,nadhani kwa mtazamo wangu haina tija kama hotuba ya jamaa,imefikia sehemu zinatumwa picha ambazo hazina cha ajabu chochote ila zinawekewa caption za matusi mazito jamani kama kuna mtu anamfahamu huyo blogger pls tell the guy isnt good aache watu wafanye mambo ya private bila kuingiliwa.
 
Naona watu wengi wanakerwa na huu mwenendo wa wenzetu kuendekeza majungu na umbeya.Inabidi watanzanzani tubadilike!

Hebu someni hii:

Anonymous said...
SUNGU SUNGU NASEMA:
KWA HAKIKA IMECHOSHA NA IMEKUWA KERO KUTOKANA NA HABARI ZINAZOENDELEA KUHUSU WATANZANIA WANAOISHI UK NA USA.
HAKUNA JAMBO LOLOTE LA MAANA LINALOONGOLEWA ZAIDI YA FULANI NI MALAYA,MARA HUYU KALALA NA YULE MARA HUYU WAZAZI WAKE WALIKUWA HIVI NA MAMBO MENGI YA MATUSI NA KASHFA ZISIZO NA MFANO.
SIE TULIOKO TANZANIA TULIDHANI MTU AKITOKA NJE YA NCHI NA KUKAA KTK NCHI ZILIZOENDELEA KAMA UK NA USA,ANAKUWA NA MABAILIKO KIFIKRA NA KITABIA .LAKINI KUTOKANA NA TABIA YENU YA KUTOLEANA SIRI,KUDHALILISHANA NA KUTUSIANA KTK MTANDAO,NAWAJIBIKA KUSEMA KUWA KIAZI NI KIAZI TU,HATA UKIKIKAANGA NA SAMLI HAKIWEZI KUBADILIKA KUWA GIMBI!!
JIRANI ZETU WAKENYA WAMEZOEA KUNAMBIA KUWA WATANZANIA WOTE WANA AKILI ZA KAWAIDA.
WANATOA MFANO KUWA UKIKUTANA NA MTANZANIA AMBAYE NI PROFESA,DAKTARI,MCHUMI,MFAGIA BARABARA NA MSUKUMA MKOKOTENI,WOTE AKILI YAO INALINGANA NA HUWEZI KUWATOFAUTISHA.MWANZONI NILIKUWA NAKASIRIKA KUWA WANATUTUKANA,LAKINI KUTOKANA NA TABIA ZENU NINYI NDUGU ZETU WA UGHAIBUNI,NASHAWISHIKA KUAMINI KUWA KWELI WATANZANIA WOTE TUNA AKILI ZA KAWAIDA NA HUWEZI KUMTOFAUTISHA MTANZANIA ALIYEKO KARIAKOO NA MTANZANIA ALIYEKO TEXAS ,COZ WOTE NI WATU WA POROJO,UMBEA NA KUPOTEZA MUDA KUSENGENYANA.
BADILIKENI, ACHENI MAJUNGU NA POROJO FANYENI KAZI KWA BIDII ILI MJE KUJENGA NCHI YETU.
NA NYIE MNAOSEMWA NA KUTOLEWA SIRI ZENU KAMA NI KWELI BADILIKENI COZ SASA IMEKUWA NI AIBU TUPU KIASI KUNA BAADHI YA WAZAZI NA WATU WENGINE HAWAONI HAJA YA KUWARUHUSU WATOTO,NDUGU AU WAKE ZAO KUJA HUKO UK AU USA KUTOKANA NA NYIE MLIOKO HUKO MNAYOYAFANYA.
BADILIKENI WAUNGWANA!

August 22, 2008 12:14 PM
 
Hii rhetoric ya "ni aibu kwa taifa", "Watanzania tubadilike", na generalizing and sweeping statements kama hizo kwa kweli yamepitwa na wakati. Tanzania si Turkeministan, Khirgistan au Korea ya Kaskazini! Hizi siyo zama za "ujamaa na kujitegema", "operesheni maduka", "ulanguzi na uhujumu uchumi", "mikingamo", "nguvu kazi" na sijui vitu gani, bali ni zama za utandawazi unaoendana na teknolojia mpya na za kisasa za mawasiliano. Kama ni majungu na umbeya, mambo haya yalkuwapo tokea enzi za Wahenga na yataendelea kuwapo, kilichobadilika hapa ni vyombo vya mawasiliano tu. Badala ya neno la mdomo baina ya watu wawili -watatu sasa imekuwa ni simu ya mkononi na sms au teknolojia ya mtandao inayoweza kuwafikia mamilioni ya watu kwa wakati mmoja.
 
Naona watu wengi wanakerwa na huu mwenendo wa wenzetu kuendekeza majungu na umbeya.Inabidi watanzanzani tubadilike!

Hebu someni hii:

Anonymous said...
SUNGU SUNGU NASEMA:
KWA HAKIKA IMECHOSHA NA IMEKUWA KERO KUTOKANA NA HABARI ZINAZOENDELEA KUHUSU WATANZANIA WANAOISHI UK NA USA.
HAKUNA JAMBO LOLOTE LA MAANA LINALOONGOLEWA ZAIDI YA FULANI NI MALAYA,MARA HUYU KALALA NA YULE MARA HUYU WAZAZI WAKE WALIKUWA HIVI NA MAMBO MENGI YA MATUSI NA KASHFA ZISIZO NA MFANO.
SIE TULIOKO TANZANIA TULIDHANI MTU AKITOKA NJE YA NCHI NA KUKAA KTK NCHI ZILIZOENDELEA KAMA UK NA USA,ANAKUWA NA MABAILIKO KIFIKRA NA KITABIA .LAKINI KUTOKANA NA TABIA YENU YA KUTOLEANA SIRI,KUDHALILISHANA NA KUTUSIANA KTK MTANDAO,NAWAJIBIKA KUSEMA KUWA KIAZI NI KIAZI TU,HATA UKIKIKAANGA NA SAMLI HAKIWEZI KUBADILIKA KUWA GIMBI!!
JIRANI ZETU WAKENYA WAMEZOEA KUNAMBIA KUWA WATANZANIA WOTE WANA AKILI ZA KAWAIDA.
WANATOA MFANO KUWA UKIKUTANA NA MTANZANIA AMBAYE NI PROFESA,DAKTARI,MCHUMI,MFAGIA BARABARA NA MSUKUMA MKOKOTENI,WOTE AKILI YAO INALINGANA NA HUWEZI KUWATOFAUTISHA.MWANZONI NILIKUWA NAKASIRIKA KUWA WANATUTUKANA,LAKINI KUTOKANA NA TABIA ZENU NINYI NDUGU ZETU WA UGHAIBUNI,NASHAWISHIKA KUAMINI KUWA KWELI WATANZANIA WOTE TUNA AKILI ZA KAWAIDA NA HUWEZI KUMTOFAUTISHA MTANZANIA ALIYEKO KARIAKOO NA MTANZANIA ALIYEKO TEXAS ,COZ WOTE NI WATU WA POROJO,UMBEA NA KUPOTEZA MUDA KUSENGENYANA.
BADILIKENI, ACHENI MAJUNGU NA POROJO FANYENI KAZI KWA BIDII ILI MJE KUJENGA NCHI YETU.
NA NYIE MNAOSEMWA NA KUTOLEWA SIRI ZENU KAMA NI KWELI BADILIKENI COZ SASA IMEKUWA NI AIBU TUPU KIASI KUNA BAADHI YA WAZAZI NA WATU WENGINE HAWAONI HAJA YA KUWARUHUSU WATOTO,NDUGU AU WAKE ZAO KUJA HUKO UK AU USA KUTOKANA NA NYIE MLIOKO HUKO MNAYOYAFANYA.
BADILIKENI WAUNGWANA!

August 22, 2008 12:14 PM
womenofsubstanc wewe yaonekana ni muangaliaji mzuri sana wa blog zile.....na unaonekana unazipenda..thats the fact......ukiwa unaingia mule kuna Content Warning
The blog that you are about to view may contain content only suitable for adults. In general, Google does not review nor do we endorse the content of this or any blog. For more information about our content policies, please visit the Blogger Terms of Service
wewe kwa makusudi mazima ukaclik kuwa I understand and i wish to continue.......alafu sasa......

ukavutiwa na yaliyomo mpaka ukaamua kusoma comments mule na kuja na mfano wake......nikuiteje? naweza kusema kuwa wewe ni "mlevi" wa blogs zile.....
 
...hivi mnahitaji kumkamata huyo mtu au kumfungia website?! semeni....

Chonde! Chonde! Kama ni mtaalamu wa mitambo ya mawasiliano ya kompyuta toa msaada kwa wahusika hapa chini. Ila sidhani ni kazi rahisi kupata ID yake kwani jamaa anatumia server za Google.

Sisi wamiliki wa Internet Cafe; Dar-es-salaam, tumekubaliana kushirikiana na wenzetu wa mikoa ya mwanza, arusha, unguja, dodoma na mtwara ili kumsaka na kumtia Mbaroni mtu yeyote atayetumia vituo vyetu kutuma picha za porno au zaku dhalilisha watu mahali popote.

Tumeamua kuchukua hatua hii kutokana na matatizo makubwa yanayo watokea watanzania bora kupitia blog ya UTAMU! Hizi ni baadhi ya hatua tulizokubaliana na kamanda wa polisi, mjini dar ilituweze kumbana na kumkamata huyu jamaa UTAMU!

Kwa msaada wa software maalum ya ant-download detect tutafuatilia wateja wetu wote watakao download na uploading file lolote kwa lengo la kuzuia. Tafadhali tunaomba ushirikiano wenu wateja wetu.

Ahsante
Mr John David
 
ile blogu inayotuchafulia hewa na kufanya watu kuogopa kupigana na msnepu, hatimae hatunayo tena, kila ukisearch jibu, ni kwamba the blog has been removed,
haya yeti mimacho na misikio, maana duhh jamaa kwa kufata life za watu alikuwa hafai, kagusa pabaya
 
THANX GOD,this blog has done more damage,then ever imagined.lifestyle za watuzilichange kabisa,for fear of the unknown.suddenly good freinds were avoiding one onother.just imagine living in fear of the unknown enemy who may strike at any moment. the dirty linen that was washed in public by this blog.i fear some people will never recover
 
Dah! Afadhali. Ubaya ni kwamba si huyo jamaa tu pia na watu wa karibu wa hao wanaoandikwa/ kuwekwa picha zao. Mbona nilisikia alikamatwa na polisi huyo mhusika? Tena na picha za arrest zilikuwepo mtandaoni, tena courtesy ya Global Publishers (even further linking Mr Shigongo)
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom