Channel ten na mechi za uefa champions league

Kifo

Member
Feb 13, 2008
20
4
WanaJF, mimi nasikitishwa sana na tabia inayojenga mizizi hii channel ten ya kutopangilia vipindi vyao na kusababisha kutuonyesha mechi recorded wakati wao wana license ya kutuonyesha watz live. Najua kuwa kuna DSTV lakini kwa wengi wetu channel ten tuliona mkombozi wetu katika show hii ya TV.
 
.....Kwani ile "LIVE BILA ZENGWE!" imeishia wapi...???? :rolleyes:
 
kwani hiyo mipira ya champs league si ilikua yaonyeshwa na itv?na navyokumbuka ilikua ukiisha mmoja wanaweka wa pili yake!
 
Channel ten LIVE BILA ZENGWE !!!!!!!!!!!!!!.Sijui hawa jamaa wa Channel ten wana maana gani, hii ni mara ya nne mfululuzo wanatufanya sisi watoto wadogo wanarekodi halafu wanatudanganya live.
 
Hawa Chanel Ten wanaonyesha mpira ambao ni delayed (kwa kama dakika 20 hivi). Mwanzoni walikaa kimya (labda wakitegemea watu ni mazuzu hawatashtuka), lakini baadae (nadhani wakati wa mechi za juma lililopita) wakatoa maelezo kwamba ni sababu za kibiashara zinawafanya wapewe haki ya kuonyesha with 20mins delay. Ila nadhani kwa mechi moja kati ya mbili huwa wanakua 'live' kweli.
But labda wenyewe wanaweza kutoa maelezo sahihi zaidi.
 
Ya J5 ni live kisawasawa!!!!!! Mi zinantoa hizo, nachofanya kila J4 yenye mechi narudisha saa yangu nyuma dk 20!!!!
 
Duh Mkuu, hili bongo la solusheni.
But sababu ya curiosity huwa najikuta napiga chabobbc, then unapojua kwamba hakuna goli in the next 20mins you get flat bored.
 
ukisikia kihelehele ndo kile. jamaa hawakujipanga kuonyesha champions league. so kwa sasa wamebakia uwongo uwongo 2..............na wale wachambuzi wao wa maswala ya soka ndo uharo kabisaaaaaaaaaa wamebakia kutajana majina tu. ni wapuuzi
 
Wiki hii sikuwaona au wapo likizo...
 
kwani hiyo mipira ya champs league si ilikua yaonyeshwa na itv?na navyokumbuka ilikua ukiisha mmoja wanaweka wa pili yake!
Mkuu nakumbuka hiyoilikuwa mwishoni mwa miaka ya tisini mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000. Tena ilkuwa mechi moja ikiisha inaanza nyingine, mpaka UEFA nddogo tulikuwa tunaona zote. Ilkuwa safi sana kabla ya matapeli wengine kuingilia kati na kuharibu.

Regnald Mengi akiamua kuifanya kitu anafanya kwa uhakika, sio hivi vitv vya kitapeli tapeli. Kuna mwingine anajiita AGAPE TV alijitoa Startimes akaanzisha kisimbuzi chake cha TING, akidanganya watu kwamba ataonyesha mechi za Barclays Premier League na UEFA. Kumbe mechi zenyewe zilikuwa ni zile za ofa/bure ambazo hata Star TV walikuwa wakirusha LIVE kila week end. Wizi mtupu...!!1
 
Dtv wanarusha live, cha ajabu juzi ile mechi ya arsenal na bayern, walikuwa wanarusha mechi na kelele za mashabiki, commentators walikuwa hawasikiki sasa sijui pia ni sehemu ya vigezo na masharti kutorusha sauti za watangazaji?
 
Back
Top Bottom