Hapa mkuu umenena. Ni majukumu ya kitaalam yanapochanganyikana na matakwa au malengo ya kisiasa ili kubariki au kufanikisha malengo na matakwa ya kisiasa, and not vice versa ndipo palipo mtego !!!
SteveD.
sawa kabisa..........ila tu TICTS isije kuzaliwa tena kwa jina jingine kama Richmond ilivyobadilika kuwa Dowans
Kwakweli Jakaya Kikwete is WORKING HARD.
Asante sana JK sasa nakuaminia RASMI. Na kuanzia sasa nikiona kitu kinaenda vibaya nitakupa Benefit of doubt, naamini ktk wakati muafaka utamaliza mambo!
Asante sana