Recent content by khamsa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Akisimama Makonda Mungu kasimama, je akisimama Magufuli nani kasimama?

    Nadhani tumetafsiri vibaya kauli ya Makonda. Kwa nilivyoitazama Mimi alidhamiria kuonesha kazi anayoifanya ya kutetea wanyonge hata Mungu anaifurahia hivyo anaposimama Makonda Mungu anakua upande wake. Sasa mlitaka aseme akisimama na shetani amesimama?.......Nani amemfuata Makonda ili atoe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Jana katusaidia mengi sana wananchi wa Mabwe pande. Sikubaliani na hoja kwamba ziara zake hazitatui matatizo. Jana tu tatizo la Maji, Ardhi na afya viliwekwa sawa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo haya Dar es Salaam

    Viwanja ninavyo Bunju ukubwa ft20 kwa 20.. Bei 3.5m...tuwasiliane 0655515253
  4. K

    JamiiForums Tanzania Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

    Uvivu ni tabia ya mtu haihusiani na kuswali swala 5 wala kuhudhuria vikao vya dini. utafiti wako wa watu wawili hautoshi kuhitimisha hoja yako. pia naona hiyo ya mlokole umeiweka tu kubalance. yaleyale Radio iman Vs Radio Maria.
  5. K

    JamiiForums Tanzania nadumu 60 za asali nauza 90 elfu kwa lita 20

    Asali iko wapi kwasasa? ni muhimu kujua gharama za usafiri kutoka ilipo. na haijachakachuliwa?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaoishi Mbeya, msaada please

    Tafuta UWATA SCHOOLS MBEYA kwenye mtandao. wako vizuri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja Na Changamoto Nyingi, Dar Es Salaam Ndio Sehemu Ambayo Kila Mtu Anaweza Kufanikiwa

    umenena vyema Mkuu. mkoani fursa bado ziko wazi na ukizitumia vizuri unapasua fasta. hatuwezi kujazana Dar ili tufanikiwe. hatuishi kwa mazoea Bali tunaishi kwa kujifunza.
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

    daaaah afadhali.. wife leo asahau mambo ya tamthilia..
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

    hiyo imetulia sana.
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

    zaidi ya DSTV king'amuzi gani kitaonyesha mechi ya leo?...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    kama mmetimiza vigezo vya utanzania, std 7, doc za serikali ya mtaa n.k basi endeleeni kufanya subra. haya maneno ya mtaani ni ya kukatisha tamaa. hebu endeleeni na mapambano kuliko kuzua uongo usiokuwepo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    wagala ni wehu sana. sasa hapo muujiza gani ikiwa mtu amefariki kifo cha kawaida akitokea kwenye matibabu India. hakuna muujiza hapo kwani kitu mtu anaonja kifo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Zima Moto Updates

    watoe na ya uhamiaji tuchague pakwenda
  14. K

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa bei Nafuu!

    Mkuu bado ipo?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar haijawahi kuingiza shule katika 10 bora katika matokeo kidato cha 4 kwanini?

    hapana si kweli wengine tumepita madrasa, tumehifadhi Quran na bado tuna GPA kubwa kutoka vyuo vinavyoheshimika duniani hivyo ni suala la mtu sio mfumo wa kiislamu.
Back
Top Bottom