ni kuomba mungu tu jmn nilienda ofc za uhamiaj nilichokiona kule inasikitisha kna counter lna majina kbsa ya waliopendekezwa wanachofnya wanachambua ile mibahasha wakitafta yale majina yalioandikwa kwa mapendkzo ya mabosi aisee znavyochnwa applications za watu inatia huruma maana ni hela ndo inachanwa pale..baba yngu mkubwa yupo pale nilienda kumuomba anisaidie nipate kazi ila nilichelewa waliowah kumuomba alishapeleka majina yao cz kila ofisa alipewa idadi ya watu wa kuwaingiza aisee hii ndo tanzania hta mm nasubir miujiza ya mungu hpa
Vijana mtahangaika sana! mtakufa na presha bure; uhamiaji inawenyewe, kwenye interview mnaweza kuitwa ili kutimiza wajibu tu, lakini nafasi zinawenyewe! Chamsingi tafuteni kazi mkiwa na kazi; sio mnaomba kazi mkiwa vijiweni mnapiga majungu tu! vinginevyo mtasugua sana benchi mtaani mpaka mtaja......mba! teh teh teh teh!
Tafuteni kazi mkiwa na kazi? Inawezekana unatumia kiungo kibaya sana kufikiri. By the way, tuache sisi tunaoamini kwamba haiwezekani kupata kazi ya kwanza ukiwa kazini.
Vijana mtahangaika sana! mtakufa na presha bure; uhamiaji inawenyewe, kwenye interview mnaweza kuitwa ili kutimiza wajibu tu, lakini nafasi zinawenyewe! Chamsingi tafuteni kazi mkiwa na kazi; sio mnaomba kazi mkiwa vijiweni mnapiga majungu tu! vinginevyo mtasugua sana benchi mtaani mpaka mtaja......mba! teh teh teh teh!
hakuna cha afisa wala fisi sisi wengne afisa wetu ni aliye mkuu kupita wote kwa jina lake tutaitwa usaili na tutapata kazi bila vimemo...,,sikia sauti ya aliye juu wewe uliyeandika upumbavu wa kukatisha tamaa wenzako.,amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kimbilio lake
wewe nadhni hujaelewa nilichoandika na sa nyngne ndo maana wtu mnakosa ajira mtu anakurupuka tu kujibu hajaelewa kilichosemwa
hakuna cha afisa wala fisi sisi wengne afisa wetu ni aliye mkuu kupita wote kwa jina lake tutaitwa usaili na tutapata kazi bila vimemo...,,sikia sauti ya aliye juu wewe uliyeandika upumbavu wa kukatisha tamaa wenzako.,amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kimbilio lake
Ila kumbukeni vimemo vingi viko kwenye nafasi ya MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI!