Zima Moto Updates

Zima Moto Updates

Akili mu kichwa nilimaanisha hata baada ya majina kutolewa tuliokosa tuendelee kusumbua akili kuangalia tutaishi vp
WABONGO NDO TABIA ZAO ZA KUBADILI BADILI MANENO.
WEWE NA HUYO BAROZI WA DODOMA NDO MLIKUWA MNAMDHIHAKI MTOA MADA-NAKUMBUKA MTOA MADA ALIWAMBIA KATIKA THREAD FULANI HIVI. ACHENI UJUAJI NA KUJIFANYA MUCH KNOW KUMBE EMPTY VICHWA.
 
hiki ni kipimo ukiona zimamoto holaaaaa basi immigration sahau kabisa
 
km utakua ulifaulu sana form four
basi ulipata division 4

mambo madogo unashindwa kupambanua.

Hakuna ubaya kaka. Kufaulu ni kufaulu tu. Wakati we unafaulu darasani yeye alikuwa nafaulu maisha. Hiyo ngoma siyo droo.
 
majina yalio tolewa ni ya waliomba sajenti na nyota 1 mengine mpaka ya uhamiaji yamalizike kuchambuliwa chanzo ofisi ya zima moto makoo makuu atown
 
ungekua umefaulu maisha usingekuja kulia shida zimamoto young boy

Mi ndo nawapa updates, kumbe ndo nalia shida?? Wagogo *omba omba* wagumu kuelewa sana. Tena we old girl fikiria kwa kutumia kichwa si ma.ta.ko.
 
Huu ni ujinga sasa kama yametoka mbona hawajaupload kwenye website yao????
 
Habari zenu !

nimeambiwa fire wametoa majina ya watu kwenda kwenye usaili kupitia gazeti la chama , UHURU la jana, mwenye taarifa za kweli atujuze. Binafsi nimejaribu kutafuta tovuti yao ila sijaipata.

Asante.
 
Back
Top Bottom