Kwa mnaoishi Mbeya, msaada please

ufumawicha

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
504
209
Natafuta shule ya private A-level yenye comb za CBG AU CBM, kwa anayezijua naomba msaada please!
 
Tafuta UWATA SCHOOLS MBEYA kwenye mtandao. wako vizuri.


UWATA ada ni Millioni Moja na Laki tatu 1,300,000/=
uniforms 95,000/= approximately Laki Moja

gharama za kuchukua form ni 15,000/=


Ila sidhani kama Registration hazijafungwa !

Mana Pandahill wamefunga Registration Tar 31/5/2014
 
Back
Top Bottom