Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Mi nadhani Marehemu ndo anahitaji msamahaKifo uchungu ni ule ule ikiwa kitandani au kwa risasi Allah akusamehe kwa usilo lijua inshaallah siku moja utajua ukweli.
Mi nadhani Marehemu ndo anahitaji msamahaKifo uchungu ni ule ule ikiwa kitandani au kwa risasi Allah akusamehe kwa usilo lijua inshaallah siku moja utajua ukweli.
makosa yake mnayaona wakati kafa..?? Mngemrekebisha alipokuwa mzimaInnallilah wainna illah rajiun; Mola amsamehe makosa yake; amuondelee adhabu za kabri; awape subra wafiwa
Ameni.
usimwombee kikristu...May GOD rest his soul in ertenal peace AMEN
ulikua unayachukia maneno yake ama matendo yake?!!!
Sina cha kupoteza,ili mradi dunia ibaki ni mahala salama pa kuishi.
Shetani unamjua wewe? Hujui kuwa yule aliyewadanganya mpaka mnaabudu binadamu aliyedhalilishwa kwa kupigwa misumali na kuveshwa nepi ndio unatakiwa kumlaani? Wewe jini nini?
nani kakwambia dunia ni mahala salama pa kuishi? Ndio mwafundishwa hivyo? Kwani Ponda kapoteza nini?
Poleni kwa msiba
Radio Imani ndio ya kwanza kukitangaza kifo cha IlungaKim
Hii taarifa ni ya kushtua na ukizingatia shekhe Ilunga alikuwa ana tafutwa na polisi kwa muda sasa.
Hivyo basi, ningeomba kama utojali, uweke chanzo cha taarifa yako ili niweze kujiridhisha.
Paw, Invisible PainKiller
Nenda mwana kwenda ilunga
Mungu ametenda miujiza