CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,943
2,000
That time we have been waiting is today! Nani atalitwaa kombe?

Msisimko unaweza kuwa sio mkubwa sana kwa kuwa wachezaji walioko national teams watakuwa wakicheza kwa tahadhari ili wasiumie kwenye kombe la dunia

Katavi Mbu Nzi et al.
 
Last edited by a moderator:

Active

Content Quality Controller
Jan 30, 2008
558
1,000
Atletico madrid watamaliza mashindano bila kupoteza mchezo.... If you knw what i mean!!!
 

junior mzolo

Senior Member
Jan 26, 2014
140
0
Who will be better between ronaldo and diego costa also who will be de best coach between carlo ancelonti vs diego simeone
 

junior mzolo

Senior Member
Jan 26, 2014
140
0
Ngoja tuone coz wanasema timu yoyote ambayo huwa inaitoa barca ndo huwa inachukua ushindi
Chelsea ilimtoa Barcelona ikachukua ndooo
Bayernmunich ilimtoa Barcelona ikaenda kuchukua ndoo....je, ni kweli ngoja leo tuone
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom