CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

daaaah afadhali.. wife leo asahau mambo ya tamthilia..

Hahahaaa siyo vizuri hivo wee kubali kupoteza dakika 15 za mwanzo wa mchezo mwachie wifi aangalie ile tamthilia ya startv hadi saa nne afu ww uendelee kuanzia saa nne.
 
Atlético 1 - 0 Real. Goli litafungwa Kipindi cha kwanza, dk zamwanzo kabisa (8-20) litafungwa kwanjia ya kona. Kipindi cha pili Refa atajitahidi kuwabeba Real kwa kuwapa penalt ya utata lakini hilo halitakua suluhisho la Real kukalia kipande, mpigaji (Balé) atapaisha juu utafikiri anapopoa maembe njwanjwa. Mpaka dk 90 Atlético 1 - 0 Real.
 
Du.. pweza hakuwezi.. lazima wakae
 
Lile kaka jambazi la atletico madrid lenye midevu lazima limvyonze mtu kinyesi leo.Atletico 2-Real 1.
 
Ni kawaida ya mafukara wanapoona nyumba ya tajiri ikiungua wao kushangilia wakiamini chama chao hatimae kinapata mwanachama mpya tena wasiyemtegemea bahati mbaya hawatambui kuwa nyumba za matajiri zinakatiwa bima.

Ninachofahamu leo CR7 akishirikiana na wadau wenzie wa BBC ndani ya ardhi aliyozaliwa atakata kiu ya muda mrefu wadau wote Santiago Bernabeu kwa kutukabidhi ndoo la 10 ndani ya dkk 90.

Mtoto asili yake nepi na unapomvua asubuhi lazima ukute imeloana na imeongezeka uzito kwa mafurushi aliyoyaporomosha usiku.

cc. Kitoabu
 
Back
Top Bottom