Recent content by kaa chini

  1. kaa chini

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Nitakuwa wa mwisho kuamini hiki ulichokiandika
  2. kaa chini

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

    Mtu akiwa na msongo wa mawazo atatumia kila njia kupata sehemu ya kujipa moyo
  3. kaa chini

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda haendi Kizimkazi kutoa salamu za rambirambi?

    Hivi kwani mtu lazima kuanzisha uzi? Wakati mwingine mtu unaonekana sio mfuatiliaji wa mambo
  4. kaa chini

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya michango tunayokumbana nayo Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mbagala Kuu

    Hivi kwa miaka ya sasa unadhani elimu ni rahisi kiasi hicho? Yaani elfu 2 unalalamika? Kwa akili hizi O-level utaweza kumnunulia vitabu vya elfu 30 mpaka 40 kwa kitabu kimoja?
  5. kaa chini

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wannanchi wanavyopqmbana na vyombo vya dola, siku askari wakizidiwa itakuwaje?

    Sio jambo la kushangilia AK 47 kuingia mtaani, wakati wewe unawaza itawadhuru hao Askari Polisi tambua hata wewe inaweza kukudhuru pia
  6. kaa chini

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kichaga wamejaliwa sura na shepu ila tabia hawana kabisa

    Jiandae kukabiliana na kifo
  7. kaa chini

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

    Wote ni wale wale tu tabia zinafanana, tofauti ni dola tu basi, ila hata wao siku wakishika dola watakuwa hivyo hivyo na kutenda wanayoyalamikia
  8. kaa chini

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Vitu vingine ni vya kujiepusha navyo tu, hivi kweli umkwide police akiwa kwenye sare za kazi utegemee kusalimika?
  9. kaa chini

    JamiiForums Tanzania Ushauri nimuoe huyu singo maza

    Swali unalouliza ndilo jibu lenyewe
  10. kaa chini

    JamiiForums Tanzania Ushauri nimuoe huyu singo maza

    Pole kwa kufikiria kununua kiwanja chenye mgogoro
Back
Top Bottom