Recent content by JoyPeace

  1. J

    JamiiForums Tanzania Vodacom kuna wizi

    Yaani katika vitu vinavyonichefuaga sana ni hiyo 1,000/= ya uongo unayopewa hewa baada ya kununua umeme kwa mpesa!!! sijui vodacom kwa nini voda wanatufanya wateja kama toys? naungana na ninyi hawa Voda kwa sasa wanaenda kubaya!
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

    Big up! I wish kama wanaume wote na wanawake wote walioko kwenye ndoa wangekuwa na mtazamo kama wako basi maambukizi yangepungua kwa kiasi kikubwa! watoto wa mitaani wangepungua! kila kitu kingeenda safi! kama hiyo ndo kaulimbiu yako Mungu akuwezeshe na akubariki! zaidi akupiganie usijeanguka...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rafiki mkweli utamjuwa wakati una matatizo................

    Nakubaliana na wewe mkuu! sio wote wanaoonyesha nia ya kukusaidia wanamaanisha hivyo! wengine wanafanya hivyo ili wajue kila kitu na kupata nafasi ya kukuharibia zaidi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rafiki mkweli utamjuwa wakati una matatizo................

    Nakubaliana na wewe mkuu! sio wote wanaoonyesha nia ya kukusaidia wanamaanisha hivyo! wengine wanafanya hivyo ili wajue kila kitu na kupata nafasi ya kukuharibia zaidi.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kila Siku Nitaomba kwa Mungu: Wabaki Hai Walau Hadi 2016 Washuhudie Mabadiliko!!!

    Umewasahau: Kamuhanda Na wapigwe tu! maana tumechoka! Mrs Mwigulu Nchemba aka msaidizi wa Mwigulu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

    "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" maarifa ya kiMungu yanatoka kwa kusoma neno! unapolijua neno la Mungu unakuwa na macho ya rohoni! Hatupashwi kuhukumu lakini kila mwenye macho huona! Mungu atusaidie sana!!! Sio kila nabii ni wa Mungu! Ni vyema tukaomba msaada wa roho wa Mungu kuwajua...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Enziiii za Mwalimu

    Yaani kweli kabisa elimu ya sasa inawandaa watoto wetu wawe tegemezi kabisa! hawajui hata kushona, enzi zile lile somo la Sayansikimu lilitusaidia sana mpaka sasa tunaweza kufuma na kushoa, watoto wa sasa utawasikia nguo imechanika kumbe imefumuka hawawezi hata kuishona. Tulijua kulima na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Enziiii za Mwalimu

    lol! yaani umenichekesha sana! umenikumbusha mbali kweli hasa Gulibiti!! haha haa na enzi zile pipi tulikuwa tunaita peremende na chewing gum ilikuwa bazoka!! Du wale waliosoma Wilolesi Iringa kwa Kajiba, enzi hizo kila J3 na Alhamisi kuna parade, ilikuwa shule ya kikakamavu! du kulikuwa na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Foleni Dar es Salaam LAISHA

    Mhh foleni gani zilizopungua? Au mwenzetu umehama Dar? Na pia trafic kuwepo wanapunguza sana tatizo la foleni. Nakushauri kajipangu na uje na data za kutushawishi!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Ameeeeeeeeeeeeeeen mkuu! hakuna wa kushindana na Mungu! waache watapetape sisi akina Daudi 2015 Kabaang! kwenye paji la CCM! kwisha habari yake hapo ndipo watakapoamini hawawezi kushindana na MUngu! waache watengeneze video kibao badala ya kuangalia changamoto kibao zinazokabili nchi na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova: Tuhuma dhidi ya Lwakatare hazihusishi Chama

    Katika hili tunamwitaji Mungu! Bado Mungu atabaki kuwa Mungu! kwenye ukweli uongo hujitenga!! wasikurupuke na hili maana hakuna linaloshindikana kutengenezwa na magamba!
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa ananisumbua

    Kumbuka wema aliokutendea mume wake mpaka umepata maisha mlindie heshima na utu wake!! acha kujiuliza kwani ukiombwa ni lazima utoe???
  13. J

    JamiiForums Tanzania YESU amenipa kazi UN

    Hongera sana! Kachape kazi na kusimamia kusudi la Mungu na utaendelea kusonga mbele! ila usisahau fungu la kumi ili uendelee kuteka baraka kisawasawa! best wishes
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

    Hongera sana kwanza kwa kuweza kufikisha kipindi hicho cha ndoa! Mungu akuongezee maisha na kusimamia ahadi zake katika ndoa. Pole sana dear wangu we are in the same boat! But Mungu akupe moyo wa uvumulivu na kwa jinsi mnavyomisiana ndo mnazidi kukuza penzie lenu, endelea tu kuwa na mawasiliano...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, mnaukumbuka wimbo huu? Naapa naahidi mbele ya chama...

    Ha haaaa umenikumbusha mbali sana! uwi inabidi kuendelea kuvunja viapo vyote! du
Back
Top Bottom