NAAPA, naahidi mbele ya chama mapindizi ni cha kulinda mpaka kufa
Wana JF mnakikumbuka hiki kiitikio wakati wa mchakamchaka miaka ya 90 shule za msingi? QUOTE]
Sasa naahidi mbele ya chama....Mapinduzi nitakulinda mpaka kufa!!!
Mkuu bado wanayalinda....kina January Makamba, Ridhiwani, Hussein Mwinyi,..................
Yaani ulivyosema mchakamchaka tu ndo umenimalliza nguvu maana hiyo ilikuwa ni balaa baridi kaliii halafu mnakimbizwa kha!!!
Wana akili za kushikiliwaNAAPA, naahidi mbele ya chama mapindizi ni cha kulinda mpaka kufa
Wana JF mnakikumbuka hiki kiitikio wakati wa mchakamchaka miaka ya 90 shule za msingi? QUOTE]
Sasa naahidi mbele ya chama....Mapinduzi nitakulinda mpaka kufa!!!
Mkuu bado wanayalinda....kina January Makamba, Ridhiwani, Hussein Mwinyi,..................
Habari wana JF, poleni na majukumu mbalimbali!!!!
Nabisha hodi kwani ni mara ya kwanza kupost hoja humu jamvini. Hodi Hodi......................
Kwa wale wanajamvi waliozaliwa miaka ya 70s mnakumbuka kiapo hiki??
Enzi tulipokuwa na chama kimoja yaani CCM, inapotokea sherehe fulani hasa za kichama tulikuwa tukiimba nyimbo fulani fulani bila kuangalia siku za baadaye.
Kwa wale wenzangu tunaotaka mabadiliko 2015 naomba tuungane tutengue kiapo hiki!!
Mnakumbuka wimbo huu??
Naapa naahidi mbele ya chama Mapinduzi nitakulinda mpaka kufa!!!} chorusMimi binafsi nimetengua nadhiri hii ili 2015 Chadema ituchukue nchi wewe je???? chukua hatua!!!!!
Mapinduzi ungali mto-to mdogo nimepewa nikulinde upate makamo
Chorus

Tobaaa umevunja kiapo? au umekisahau
"Kiapooooooooooooooooo
kiapooooooooooooooooooo
we ni nani?
mimi ni chipukizi wa ccm
nitakilinDa chama changu cha ccm
na kuitumimia serikali yangu tanzania
................. saa yoyote, siku yoyote........ na mahali popote nitakapokuwa
MUNGU NISAIDIE"