Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Bora na wewe umeona....

Hivi tulipowambia wababa kuwa ni marufuku kulia lia mbele za watu.....wadau wa upande wa pili tuliwambiaje??

Naomba unikumbushe.......

Kwa dizaini hii...wale wa miezi hadi mwaka watakuwa ICU....

Kweli ni mabadiliko ya tabia nchi yamemfikisha hapa mzee mwenzetu....??

Wapi FP na Kaizer??

Babu DC!!

mkuu mwenzangu Dark City huyu nitamfunda pembeni kabisaaaaaaa baada ya kufanya thorough analysis

Maana apo juu nimeona kuna watu wanaunganisha dots, tangu lini gari ya kuvutwa ikaovateki?

Hebu ngoja kwanza Asprin ako kwen huu uzi
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kwanza kwa kuweza kufikisha kipindi hicho cha ndoa! Mungu akuongezee maisha na kusimamia ahadi zake katika ndoa.

Pole sana dear wangu we are in the same boat! But Mungu akupe moyo wa uvumulivu na kwa jinsi mnavyomisiana ndo mnazidi kukuza penzie lenu, endelea tu kuwa na mawasiliano ya karibu na ya mara kwa mara kwani ndiyo silaha pekee ya kuendelea kuenzi penzi haswa mnapokuwa mbali na malengo maalumu!

Jipe moyo kwani malengo yaliyowatenganisha ni muhimu zaidi kuliko hata mngekuwa pamoja mkitazamana bila kusonga mbele!

Pole sana! I know the situation your facing but piga moyo konde and speak out like this inadilute machungu na pia kupitia hii wengi kupata mafunzo.
 
mi nashanga!
yani nashanga kabisaa!
mwali hivi kale kabegi ka ngozi si kapo
fanya utaratibu i see!
yani humo unaweka passport tuuuuu!
eti babu Dark City kwani ana haja ya kubeba nguo?
kwani anaenda kufanya kazi za flaviana matata,ala!

Namshangaa sana huyu teacher, kwa sababu hili somo ni rahisi zaidi ya introduction ambayo huwa haitungwi kwenye paper!!!

Akiendelea kuzubaa tunamchomoa home kwa nguvu....

Andaa mambaunsa wake mkao wa kula...

Hatutaki utani tena....Mirembe ishajaa siku nyingi...no room for teacher!

Babu DC!!
 
nina siku 4 sijacheka ila kwa post hii mnimejikuta nacheka thanks

Hizi ndo veto zangu mumiiii za kuishi na shosti maana hela za kumpa sina na mimi sio handsome.................(sijui nimejimwa zote)
Mimi huwa nachezea hisia zake tu kwa 1.kumpenda 2.kumbeleza 3.kumdekeza na 4.kumjali...................na mara zote napewa zawadi ya ushindi tena nabembelezewa
CC: Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwenzangu wa miaka 47 hii makitu ya technolojia umeyafahamia wapi tena lol


Hadi nyani dume anazeeka unaweza kuhesabu makovu ya mishale??

Na hapo kuna alie ambayo aliipanchi...

Acha utani mkuu......huu ugonjwa hauna kinga zaidi ya tiba sahihi kutoka kwa mteule....!!

Babu DC!!
 
Hizi ndo veto zangu mumiiii za kuishi na shosti maana hela za kumpa sina na mimi sio handsome.................(sijui nimejimwa zote)
Mimi huwa nachezea hisia zake tu kwa 1.kumpenda 2.kumbeleza 3.kumdekeza na 4.kumjali...................na mara zote napewa zawadi ya ushindi tena nabembelezewa
CC: Kongosho


Eti nini??

Unajua kwamba kwenye msiba hakunaga washangiliaji??

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom