Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Right on! Aisee wapo sana watu wa hivi. Ila ukishamgundua unampotezea taratiiibu...
si kila anaeonyesha dalili ya kusaidi jambo ni mkweli toka moyoni
Wengi ni unafiki na wengine wanatafuta fursa zao kupitia tatizo lako
Dunia hii sijui inakotupeleka
si kila anaeonyesha dalili ya kusaidi jambo ni mkweli toka moyoni
Wengi ni unafiki na wengine wanatafuta fursa zao kupitia tatizo lako
Dunia hii sijui inakotupeleka