Mmmmh!! In ma addition ni kwamba, hata kama chanzo cha mwanamme kutoka nje ni mke, bado lawama zipo kwa mwanaume tu. Miss understanding hutokea ndan ya nyumba hatukatai, mwenye high power ya kucontrol hiyo hali ni mwanaume kwann achukulie huo ndo udhaifu wa mkewe na kuamua kutoka nje ya ndoa? Bado wanaume tunawalaum tu, ndo wanapelekea na wanawake kuwa na vidumu vya nje as a part time tu.