Mke wa jamaa ananisumbua

Mke wa jamaa ananisumbua

bora umfadhili mbuzi utamnywa mchuzi; binadamu atakuudhi!
hivi human race imepotelea wapi? mara wenhine wamesomeshwa na hawamtaki ngumbaru aliewasomesha, mwengine kapewa na pete ya uchumba hamtaki lecturer tena! ngachoka!

Wachoka cha ni kueeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Shukrani ya punda mateke, sasa na wewe unataka tukushauri ugegede, jaribu kuwa na utu kama huyo mtu aliyekubeba 8 months bila reference. Jibu unalo sana unless kama wewe ni mtu wa hovyo sana.
au ulishaanza kumgegeda ukiwa hapo kwake? maanake vijana kizazi cha nyoka hamtabiriki!
 
...sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.

Babu mheshimiwa Dark City alinifundisha kusoma between lines...naogopa na kutetemeka kwa nilichokisoma!!!!

Eti babu Asprin hii (bold) si inafanana na lile swali la da Kongosho na zombie (KakaKiiza) wake? wakishafanya ndo wanajifanya nifanyeje!??:nono:
 
Last edited by a moderator:
...sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.

Babu mheshimiwa Dark City alinifundisha kusoma between lines...naogopa na kutetemeka kwa nilichokisoma!!!!

Eti babu Asprin hii (bold) si inafanana na lile swali la da Kongosho na zombie ( KakaKiiza ) wake? wakishafanya ndo wanajifanya nifanyeje!??:nono:
 
Last edited by a moderator:
Join Date : 6th March 2013
Posts : 10
Rep Power : 303
Likes Received2
Likes Given0
 
Cha mtu mavi ukikiona kitemee mate......Napenda kuwa
muafrica

mwache akatolewe mavi, kwani hajui Kiboga maana yake ni nini
Kuna wanaume wanapenda wanaume kuliko wake zao sasa wewe unachezea sharubu
 
kaa mbali na sumu ya bure,yatakukuta na utajuta kuja mjin
 
achana na wake za watu mdau..! hawa watu hawafai kabisaaaa, wakikolea hawaambiliki kabisa so, dn dare to test!!!
 
Nilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na nikaanza kuishi kwa kujitegemea me ka me..sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.

Utoto unakusumbua dogo!
 
Kaka Yao umemshauri vizuri nadhani angetoa kama sio jamaa ake kuwa mstaarabu ndio mana kusaidia wakati mwingine kero tu.

Kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake imeandikwa hiyo wapendwa, mapizi kuwa makini usijidangaye kuwa wewe ni maziwa kama alivyosema ASNAM ndio msemo wa kisasa wa vijana wanaofikiria ngono kila mara DIVISION ZERO kwa vijana wetu zitazooleka tu!
 
This is rubbish! Kwanini una hisia za kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu aliyekufadhili kwa muda wa miezi 8. Una akili wewe kweli kuleta hapa upuuzi huu?
 
Nilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na nikaanza kuishi kwa kujitegemea me ka me..sasa cha ajabu mke wa yule jamaa angu simu kila siku anataka mapenzi nami,sasa nifanyeje?.

mpe tu!!!!!!!!!!!!
 
Mada mmeipoteza kabsa kwa mijadala icyo ya msingi.
 
Kumbuka wema aliokutendea mume wake mpaka umepata maisha mlindie heshima na utu wake!! acha kujiuliza kwani ukiombwa ni lazima utoe???
 
Back
Top Bottom