We nawe huoni, vaa miwani. Milion moja kasema nani? c kila mtu angenunua, na kusingekuwa na Tangazo yaani ungeshtukia zimeisha tu. Soma vizuri ni MILLIONI MIA ndo kuanzia hapo.
Tutakaa uswazi hadi tufe aisee!
Mnataka mpigwe picha ama! wewe kama hufanyi kaa kimya, wenzako wale kule wanafanya ufuska hatari. Unatetea chuo maovu, Elimu yako haijakusaidia hata kidogo ila ukweli unaujua.
Tena wakati wa bunge ndo HATARI HATARI ptuuuuuuh!
Asa Madoctor nao sometimes bwana wanaboa niaje! Walimpasulia nini wakati hakuwa na tatizo au machine zao za kupimia ni mbovu?
Kutoboana toboana tu co issue, wamemkimbiza tu mwenzao huko. Wamenikeraje ingawa cmjui!
R.I.P Bro.
Wewe mtu mzima jiongeze sio kila kitu hadi uelezewe, kwa kuona na kusoma tu unaelewa.
Jitose kama unavigezo, mengine muachie Mungu bwana weeh, utajua mbele kwa mbele huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.