Kesi ya Uamsho: Sheikh Farid na wenzake wadai kuteswa mahabusu

chukua fursa hiyo pia kumlaani aman karume

nampongeza na karume pia
uamsho haikubaliki
tushirikiane kuitokomeza,hata kama zanzibar si yangu,yangu mimi tanganyika
lakini sumu ya uamsho mimi ninayo,nitawaunga mkono kuiangamiza moja kwa moja
 
Uyo farid ni raia wa oman..anataka kuiuza zenj kwa waharabu wenzie..ndio maana uhamsho wote ni waharabu

Na ukiangalia wanaoanzisha fujo za Kiislam wengi wao ni Waarab! Wangekuwa Kenya wangeshafukuzwa, wanatunyima raha na nchi yetu tu kama yao.
 
Kesi inayowakabili viongozi wa Uamsho imeendelea leo katika mahakama ya Vuga huku Zanzibar ambapo imeelezwa mahakamani hapo kuwa upelelezi bado unaendelea. Kesi imeahirishwa hadi Rat 29 mwezi huu,

Mahakamani hapo Shelkh Farid amepata wasaa mfupi wa kutoa neno kwa watu na kuwahoji kama wanautaka muungano au lah ambapo watu walijibu kwa nguvu kuwa hawautaki. Pia akawataka waandishi wa habari wafike kwenye vyuo vya mafunzo (jela) wakajionee namna wafungwa wanafoteseka wakiwao wao.

Wamedai kuwa uongozi wa jela unawanyima ndugu zao haki ya kuwapelekea huduma kama maji ya kunywa na vyakula ambavyo huwa inaruhusiwa, lakini kwao wamepigwa marufuku kupelekewa huduma hizo.

Kesi itarejewa tena mahakamani tar 29 mwezi huu.
Hii picha ya leo hii

534686_308437555923007_379769701_n.jpg

Yale mambo ya akina Yakheeeeee hawajafanyiwa kweli?? nadhani hapo hawatasema kitu, kulaladek
 
nawatakia uvumilivu hawa Masheikh kwani hawana tofauti kabisa
na YESU, jinsi alivyodhihakiwa na kukejeliwa ndicho kinachowakuta
Hawa Masheikh na YESU hawana tofauti kabisa Mungu awape subira
kwani hawa wanaofurahi na kushangilia ndio walewale ambao walikuwepo
zama zile, mambo yanajirudia Masheikh zangu kazeni moyo ninyi ni sawa
na YESU mwana wa Mariam.
 
Naona kama zimeanza kuota...si walitakiwa wanyolewe.....
Mwenyezi Mungu awajalie ziote mapema ili wazidi
kufanana na Ndugu yetu Yesu, Ibrahim na wengineo
Kwani ni Mungu ndiye aliyetaka waja wake wema
wanaofuata dini yake iwe ni Sunna kwao kufuga ndevu.
 
Kesi inayowakabili viongozi wa Uamsho imeendelea leo katika mahakama ya Vuga huku Zanzibar ambapo imeelezwa mahakamani hapo kuwa upelelezi bado unaendelea. Kesi imeahirishwa hadi Rat 29 mwezi huu,

Mahakamani hapo Shelkh Farid amepata wasaa mfupi wa kutoa neno kwa watu na kuwahoji kama wanautaka muungano au lah ambapo watu walijibu kwa nguvu kuwa hawautaki. Pia akawataka waandishi wa habari wafike kwenye vyuo vya mafunzo (jela) wakajionee namna wafungwa wanafoteseka wakiwao wao.

Wamedai kuwa uongozi wa jela unawanyima ndugu zao haki ya kuwapelekea huduma kama maji ya kunywa na vyakula ambavyo huwa inaruhusiwa, lakini kwao wamepigwa marufuku kupelekewa huduma hizo.

Kesi itarejewa tena mahakamani tar 29 mwezi huu.
Hii picha ya leo hii

534686_308437555923007_379769701_n.jpg

Hivi jamani ukiacha north africa, Africa south of sahara kuna watu weupe wazawa. hawa akina Farid ni waarabu wa oman (uarabuni) sasa yeye kungangana na muungano hapa ni kwake. Tukiwafurumua kama Amin atasema naonewa. Kumbuka Amin aliwafukuza wahindi pamoja na kuwa wengine hawajui India ni wapi, lakini as long as vizazi vyao vilitoka India warudi kwao. Same na akina Farid warudi uarabuni, Africa south of sahara hakuna weupe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Mwenyezi Mungu awajalie ziote mapema ili wazidi
kufanana na Ndugu yetu Yesu, Ibrahim na wengineo
Kwani ni Mungu ndiye aliyetaka waja wake wema
wanaofuata dini yake iwe ni Sunna kwao kufuga ndevu.

Wafungiwe cell hawa na ufunguo utupwe mbali huku Bara. Wana laana ya kula nyama ya binadamu hawa - na hiyo laana watakuwa nayo maisha yao yote.
 
Wafungiwe cell hawa
na ufunguo utupwe mbali huku Bara. Wana laana ya kula
nyama ya binadamu hawa - na hiyo laana watakuwa nayo
maisha yao yote.

Hizi ndizo kejeli zilizomkuta Yesu na Waja wema waliotangulia
hayawezi kuwakuta haya watu ambao wanajiona ni wa mbinguni
huku muda mwingi wakishinda kwenye Mabaa wakinywa bia na
kufurahi.
 
Huyo jamaa ni njegele kweli, sasa anadhani mahabusu kuna disko!?? muache asote humo ndani hadi akili irudi kichwani
 
JF ni jukwaa pana sana. Unaweza kujiunga na upande wa vichekesho kunakufaa zaid kuliko hapa. What a non sense!

Uko sahihi kabisa, na pia kumbuka JF ni Jukwaa huru, mwache mtu atoe hisia zake bila kuingiliwa ILI MRADI havinji sheria za JF
 
Back
Top Bottom