Huyu mwanaume ni balaa......

Huyu mwanaume ni balaa......

Mzibe na magunzi kwenye masabur yake. Ukishndwa mfunge sound proof. Nadhani hiyo itasaidia.
 
baada ya kupata kitu tamu
mwingize tambala anapojambia na tambala lingine anapo kolomea.
Kwani akijamba halufu ina kua kali eeeeeee? pulizia pafyumu si ana hela bana
 
pia mna weza kuwa room tofauti mkisha gongana unaenda kulala kwako mwache ajijambie
 
Dear! Be care mwanaume wa toomuch "jambaring" anaweza akawa ni "chakula ya watu" (totoz) mfanyie uchunguzi
 
kujamba mbele za watu ni tatzo-kama ulivyosema.as if hana control over it,mchunguze vyema,usijekuta wazee wa pwani washapita hapo,
being muscular n.k sio ishu,jaribu kumchunguza vyema
 
Juzi uliomba msaada kuwa una jini mahaba, leo umepata kitu kipya,mpo zanziba,anajamba bila kujali marafiki zako,

Sasa naomba nikwambie kuwa wewe unatuchezea akili zetu!
Kitu kipya na marafiki zako wapinawapi?
 
Juzi uliomba msaada kuwa una jini mahaba, leo umepata kitu kipya,mpo zanziba,anajamba bila kujali marafiki zako,

Sasa naomba nikwambie kuwa wewe unatuchezea akili zetu!
Kitu kipya na marafiki zako wapinawapi?

niko kwenye utafiti mkali namsaka huyu kiumbe Nazjaz, natamani sana nimuone, napata picha amejichubua mwili mzima, na nyayo zake ni nyeusi kama katambuga
 
Wajua chanzo cha weza kuwa ni wewe! waweza kuwa unampa vitu vizito mpaka akilala huwa yuko hoi. jaribu kupunguza mapigo unayo mpa thn uone itakuwaje.
 
baada ya kupata kitu tamu
mwingize tambala anapojambia na tambala lingine anapo kolomea.

Kwani akijamba halufu ina kua kali eeeeeee? Pulizia pafyumu si ana hela bana
wewe utakuwa muuaji, kaaa! Kwa nn amfanyie hivyo mwenzake?acha roho za wanyama bana.
 
Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.
Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani, marafiki zake ama marafiki zangu, hili naona liko nje ya control yake. Je nimsaidieje shemeji yenu na kumwacha sitaki hata kidogo?

huko kujamba jamba huenda ni mume kwako lakini ni mke kwa wengine
 
uwe una record mashuzi yake kwa kutumia simu then akiamka msikilizishe mashuzi yake. Ataacha kujamba ovyo.
 
basha huyu yakheee kujamba, tundu limeshaachia hiyo....
 
acheni utoto nyie binadamu.....................
haya mambo ya kujadili issue za ujambaji yanatokea wapi tena....
WAKATI MWINGINE UMRI NAO UTUSUTE KIDOGO KUJADILI MAMBO YASO NA TIJA...........................

Naona umepanick au limekugusa, ila jamba tu kwa afya usiogope maneno ya watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom