Ndani ya Chumba cha mtihani

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,591
1,500
... Jamaa waliojiona ni wajanja ... siku moja kabla ya kufanya mitihani katika chuo kimoja... wanachuo hao walikwenda kujirusha katika kumbi mbalimbali za starehe, hatimaye walilewa sana na kushindwa kuamka ili kuwahi chumba cha mtihani............ ilibidi wamuarifu mkuu wa chuo kwamba wamepatwa na matatizo ya pancha na bust ya tairi 2 na ajali ndogo wakati wanakuja chuoni... hivyo wanatoa udhuru kuwa watachelewa .... mwalimu wa mtihani aliwakubalia na kuwapa siku mbili za kujiandaa na mtihani ambao utatungwa maalumu kwa ajili yao tu...... na msimamizi wa mtihani huo ni mkuu wa chuo mwenyewe... masharti ni kwamba majibu ya maswali yote watakayopewa lazima yafanane na kama wakishindwa kujibu sawa sawa wataandikiwa zero kwa mtihani wote....... maswali yalikuwa waelezwe ajali hiyo ndogo ilipotokea..... waeleze pia ni tairi ya upande gani ilianza kupata pancha na pia waeleze ni muda gani mambo yalitokea na ni sehemu gani mambo hayo yalipowakuta......
 

denoo49

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
6,108
2,000
Nimejikuta nacheka kutokana na coments tu. Jamani mpelekeni kule jukwaa la utambulisho "wakamlambe" kwanza, alijua na ninyi mmejiunga leo. Si kosa lake bali wake wazazi waliokua hawakagui daftari zake pindi atokapo shule mwisho wa siku amekua mtu wa kuamisha vitu kuvitoa kulia na kuvirudisha kushoto. Huku kwetu tunawaita "Ganda la Ndizi"
 

habi

Senior Member
Feb 21, 2011
125
0
hata mimi nimeiona siku nyingi sana sikumbuki ni wapi lkn ilikuwa ktk mpangilio mzuri hadi inafurahisha siyo kama hii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom