CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
dah so sad my hezbend... walitoka mbali kumbe???
dah so sad my hezbend... walitoka mbali kumbe???
kwenye bold fafanua tafadhali!!!:glasses-nerdy:
mume wangu... au kwa kuwa nimeandika kiswangilish???
si mbaya kama alikatiza maana hata hii mume wangu unatakiwa kuifafanuasharo au kanumba!??
![]()
sharo na kanumba
Hii Kali Usije Ukaniwaza na Mie siku nyingineni jana usiku tu nilikuwa najiuliza, huyu dogo kwa jinsi anavyokunja midomo, je akifikisha miaka thelathini sura yake itakuwaje??
Mara nkasikia breaking news: KATUTOKA