Alikua anaumwa na tumbo kisha akamuomba Shija amsindikize hospitali,
wakaongozana moja kwa moja mpaka hospitali ya Mwananyamala na
hatimae kutoa maelezo na baada ya muda madaktari wakahisi atakua na
tatizo ktka utumbo ambapo mmoja wao alisema itakua ni utumbo umekatika au
jeraha.
Hivyo wakabidi wamfanyie upasuaji lakini baada ya upasuaji walibaini hakuwa na
tatizo katika utumbo, wakafanya wanachojua na mwishowe wakamshona sehemu
waliyoifanyia upasuaji.
Hali hiyo ilimfanya john aendelee kuzidiwa nakumbidi apelekwe Muhimbili,
na huko ndiko walikobaini kuwa tatizo ni KONGOSHO.
Ni mtanzania huyu?
Kacheza picha gani?
ha ha ha anzia leo atajulikana kwa jina la IzraelKumbe kongosho ni muuwaji......? Ngoja ni PM....
Alikua anaumwa na tumbo kisha akamuomba Shija amsindikize hospitali,
wakaongozana moja kwa moja mpaka hospitali ya Mwananyamala na
hatimae kutoa maelezo na baada ya muda madaktari wakahisi atakua na
tatizo ktka utumbo ambapo mmoja wao alisema itakua ni utumbo umekatika au
jeraha.
Hivyo wakabidi wamfanyie upasuaji lakini baada ya upasuaji walibaini hakuwa na
tatizo katika utumbo, wakafanya wanachojua na mwishowe wakamshona sehemu
waliyoifanyia upasuaji.
Hali hiyo ilimfanya john aendelee kuzidiwa nakumbidi apelekwe Muhimbili,
na huko ndiko walikobaini kuwa tatizo ni KONGOSHO.
Dah! Jamaa kawahi kufa sana, bado ni kijana mno na hajaanza kufaidi matunda ya kazi zake! Anyway kazi ya Mungu haina makosa.
RIP, we are all heading there.
Aise ilinitokea mimi miaka hiyo niliumwa tumbo la kutisha ambalo nilitapika sana bila hata kuharisha. Ni nyongo mfululizo na tumbo kuchoma kabisa na mwili wote ulivimba. Nikapelekwa hospital moja ya serikali maarufu na wakapima mara bandama ina infection, mara una mawe kwenye nini mara labda ni appendix!!! Mwishowe kila specialist (the so called) ansema lake. Nikawekewa maji chupa kadhaa na wakaamua sasa waniandae kwa operation. Usiku ule walinifanyia enema kusafisha tumbo kwa ajili ya operation na ndipo ilikuwa pona yangu!!! It was food poison from samaki na imagine niliwaeleza!!! Nilipoenda kwa mtaalam, baadaye kucheck body toxic alishangaa ni kwa nini madaktari walishindwa kujua ni food poison/or poison yenywe tu!!! Dah!! Vifo vingi vinatokana na uzembe au kutoelewa kazi kwa hawa wanaojiita maspecialist!!!
Asa Madoctor nao sometimes bwana wanaboa niaje! Walimpasulia nini wakati hakuwa na tatizo au machine zao za kupimia ni mbovu?
Kutoboana toboana tu co issue, wamemkimbiza tu mwenzao huko. Wamenikeraje ingawa cmjui!
R.I.P Bro.
Alikua anaumwa na tumbo kisha akamuomba Shija amsindikize hospitali,
wakaongozana moja kwa moja mpaka hospitali ya Mwananyamala na
hatimae kutoa maelezo na baada ya muda madaktari wakahisi atakua na
tatizo ktka utumbo ambapo mmoja wao alisema itakua ni utumbo umekatika au
jeraha.
Hivyo wakabidi wamfanyie upasuaji lakini baada ya upasuaji walibaini hakuwa na
tatizo katika utumbo, wakafanya wanachojua na mwishowe wakamshona sehemu
waliyoifanyia upasuaji.
Hali hiyo ilimfanya john aendelee kuzidiwa nakumbidi apelekwe Muhimbili,
na huko ndiko walikobaini kuwa tatizo ni KONGOSHO.
Kumbe kongosho ni muuwaji......? Ngoja ni PM....
Kongoaho ni niniAlikua anaumwa na tumbo kisha akamuomba Shija amsindikize hospitali,