Naombeni msaada ratiba ya treni ya Mwakyembe; Ubungo - Stesheni

Nimezaliwa na kukulia Tanzania sihitaji kumjua Mtanzania kuweza kumuelewa, Mtanzania wa kawaida hawezi kuuliza swali kama hilo tena kwenye internet, huyu jamaa anakebehi na wala hana hiyo shida!

pole kwa matatizo ya nyumbani, itakua wife amekuvuruga leo si bure.
 
naumia sana napoana jamaa anaendeleza maada tofauti kabisa na sijui ata sielewi anatumia vigezo gani vya kukashifu mawazo au shida kusudiwa yangu.KIJAKAZI note that:by all in all the same time you decide to behave in a bad way on the eyes of others is the same time you can behave good ways.is up to you which kind of person you may wish to be.
jamaani mwenye kujua ratiba naomba anisaidie.
 
Ahsante sana mathematics, ahsante pia kwa wote wenye mchango chanya.nadhani hiyo ratiba itanifaa sana.
Kwani nitaweza kufika mjini kabla ya saa tatu kama nikitoka Ubungo sa mbili,na pia nitaepukana na dhahama
ya purukushani ya daladala asubuhi.
ahsante pia kwa Mwakyembe kwa niaba ya Watanzania.kumbe mambo mengi sana yanawezekana in case tukiwapata Wakinamwakyembe wengi.
 
Acha kebehi wewe, angalia usije kukufuru na siku moja ukajutia hizo kebehi zako, huko nje uliko mambo yanaweza yakakuharibikia na ukashangaa siku moja hata hiyo dala dala ukashindwa kulipa, nakupa somo tu, tunawajua wengi waliokuwa hivyo, wakifika ulaya basi wanakebehi kila kitu chetu mpaka wanapitiliza halafu kibao kinakuja kuwageukia shauri yako!!

Yaani huyu kakurupuka na jibu lake la utumbo utumbo tu, c lazima ujibu kaa kimya kama vipi au unamjua na una ugomvi nae? Siyo humu basi msake hukooo uswazi, acha uswahili basi.
 
Ukimjibu utapungukiwa nini? Kila wakati mnawaza kujibu maswali visivyo. Uelewe Jibu unalotoa hapa halimsaidii yeye tu. Bali na JF wengine. Sasa unapojibu utumbo unatusaidia nini. Jamani kama mtu huna jibu ni bora kunyamaza, kwani lazima kila linaloulizwa hapa ujibu?

jamani kama mtu hujapendelewa na jinsi mwingine alivyoandika si bora kumpotezea tu, kwani lazima kila liloandikwa lichangiwe? naona hapo labda ngoma droo, kingine?
 
Acha kebehi wewe, angalia usije kukufuru na siku moja ukajutia hizo kebehi zako, huko nje uliko mambo yanaweza yakakuharibikia na ukashangaa siku moja hata hiyo dala dala ukashindwa kulipa, nakupa somo tu, tunawajua wengi waliokuwa hivyo, wakifika ulaya basi wanakebehi kila kitu chetu mpaka wanapitiliza halafu kibao kinakuja kuwageukia shauri yako!!

Yaani huyu kakurupuka na jibu lake la utumbo utumbo tu, c lazima ujibu kaa kimya kama vipi au unamjua na una ugomvi nae? Siyo humu basi msake hukooo uswazi, acha uswahili basi.

unajua unachekesha sana, mimi Mswahili na ninaandika kiswahili halafu unasema niache uswahili!!!!!!!!! na cha kushangaza zaidi unaandika eti niache uswahili kwa kiswahili sasa sijui, sasa hapo nani anaandika utumbo kati ya mimi na wewe!
 
Nimezaliwa na kukulia Tanzania sihitaji kumjua Mtanzania kuweza kumuelewa, Mtanzania wa kawaida hawezi kuuliza swali kama hilo tena kwenye internet, huyu jamaa anakebehi na wala hana hiyo shida!

Samahani lakini mambo ya binaadamu hiv umejuaje Lughe anaishi abroad?
 
Last edited by a moderator:
Descurpa wana jf kwanini tucnge 2mia jukwaa vizuli kujuzana kwa heshim kwani mbona muulizaji yuko sahihi maana hata mm ninge penda kujua hiyo ratiba
 
Back
Top Bottom