Recent content by Jamil

  1. J

    Kauli za Samwel Sitta ni za kisiasa zaidi

    Tusiongelee habari ya Sitta...mfumo uliopo Tanzania ni mgumu mno mtu yeyote anayehitaji kufanya mabadiliko labda awe kwenye ngazi ya U-rais na hata Rais mwenyewe awe ni mtu aliyejitoa kweli na sio mtu aliotoka kwenye mitandao iliyopo. Ukitaka kubadili system iliyopo waliopo kwenye system...
  2. J

    Kubenea na siasa za Kyela

    Nafikiri wengi mliotoa comment ni wepesi sana wakusahau hapa tulipo leo asingekuwa kubenea na Mwakyembe sijui kama tungefika maana hata JF sina uhakika kama tulikuwa huru kutamka mafisadi kama tunavyotamka sasa. Wao ndio wame-risk maisha yao kwaajili ya maslahi ya umma. Tanzania kuna mashujaa...
  3. J

    Iraq Christians Face More Bloodshed

    ktk yote Mungu hajawahi wala kuchelewa ktk yote anatuwazia mema ili asiwepo wakupotea bali wote tufikirie toba. 2 peter 3:9
  4. J

    Mheshimiwa Rais Kikwete anaipenda Tanzania?

    He is from God.....hayo ni maneno yaliyokuwa yakisika baada ya kula fedha za kampen lakin sasa husikii tena ...mara hatupendi..haipendi nchi..yako wapi sasa? Tuzidi kumuomba Mungu atufungue kiakili we will be able to find a good leader.
  5. J

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Tanzania hakuna chama cha upinzani ila kuna baadhi ya watu wachache wanaojitahidi kuwa wapinzani..na hapa naweza sema mpinzani wa kweli ni dr. Slaa pekee wengine wote wanaganga njaa wako kwaajili ya maslahi yao binafsi. Watanzania sio kwamba wajinga ccm tumeichoka lakini hatuoni pa kukimbilia...
  6. J

    Kila jambo linawezekana!!!

    penye nia pana njia.....tusikae tu na kusema tunataka hiki au kile bila kuchukua hatua..na usiwe mwoga wa kujaribu....kushindwa ni hatua ya kujifunza. anza sasa baada ya muda utafanikiwa.
  7. J

    Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
  8. J

    Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

    Nafikiri tatizo sio wabunge..na hata TAKUKURU kuwahoji wanafanya makosa....ila ni sheria na taratibu zilizo wekwa ndo inabidi zibadilishwe. Nakumbuka kipindi wanapitisha bajeti ilionekana kuna pesa nyingi sana ilitengwa kwaajili ya kuwalipa mawaziri na makatibu wakuu wa wizara mbalimbali kama...
  9. J

    Wizi wa $77milion kupitia tra.go.tz

    Tatizo letu hamna mwenye nazo, nafikiri angekuwepo sidhani kama angeruhusu wacheze mali zake kama hivi. Na huu mchezo upo kwa muda mrefu ukiziba hapa watatafuta pengine pakuzibua....lakini Mungu yupo na wajue kuwa mshahara wa dhambi ni mauti na karama ya Mungu ni uzima wa milele
  10. J

    Mkuu wa wilaya Ruvuma afumaniwa akimega

    Nafikiri huu ni ukosefu wa maadili mtu kama mkuu wa wilaya ambaye ndio watu wengi tungemtegemea kwa ushauri na kama kioo cha jamii anafanya mambo kama hayo...hii ni aibu kubwa mno kwake na kwa jamii nzima ya Tunduru na pia amemuabisha aliyemteaua kwani inaonekana hakuwa makini ktk kuchagua watu...
  11. J

    Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

    Hii si kweli bali nikujiendekeza na kutofuata maadili mema. hakuna tamaduni wala kitabu chochote kitakatifu cha Mungu kinachoruhusu m/ume au m/mke kufanya hivyo; hiyo ni zinaa na kwa sheria za Musa mtu huyo alisitahili kupigwa mawe hadi kufa; na hata sasa pia Neno la Mungu linasema mtu asipotubu...
  12. J

    Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

    Hii si kweli bali nikujiendekeza na kutofuata maadili mema. hakuna tamaduni wala kitabu chochote kitakatifu cha Mungu kinachoruhusu m/ume au m/mke kufanya hivyo hiyo ni zinaa na kwa sheria za Musa mtu huyo alisitahili kupigwa mawe hadi kufa na hata sasa pia Neno la Mungu linasema mtu asipotubu...
  13. J

    Obama Awa Rais wa Kwanza Marekani Kuambiwa 'Muongo' Bungeni

    Ningependa kujua kama huyu mtu ni mweusi au mweupe na kama ni mweupe wala hata sishangazwi na kitendo hiki maana wazungu wantudharau mno wa-ngozi nyeusi pale alijisahau hakujua kuwa jamaa sasa ndie kichwa...na nafikiri hadi leo hii wengi wa ngozi nyeupe hawaamini kuwa wanatawali na ngozi...
  14. J

    Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Mimba Awashangaza Madaktari China

    Nina amin hapa yalazima kuna jambo, dunia inazidi kubadilika yawezekanaje suala kama hili, kiutalaamu haliji na hata ki-imani halipo maana hakuna maandiko wala historia inayofanana na hii..hii kiboko. Lakin mi nafikiri tunajambo lakufanya huu ni wakati wakukaa na kumtafakari muumba wetu na hii...
  15. J

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Hapo tutakuwa tumepiga hatua kuongeza chachu ya upinzani ktk maamuzi bungeni. hongera wapiga kura wapenda maendeleo ya kweli. huu ni mfano wakuigwa na wote 2010
Back
Top Bottom