penye nia pana njia.....tusikae tu na kusema tunataka hiki au kile bila kuchukua hatua..na usiwe mwoga wa kujaribu....kushindwa ni hatua ya kujifunza. anza sasa baada ya muda utafanikiwa.
tatizo la wabongo wengi hawajishughulishi ki ziada, wana tegemea mshahara mmoja halafu usipotosha kuwafanya watimize ndoto zao wanaanza kuilaumu serikali, wengine hata shughuli hawana wanalaumu serikali utadhani serikali itawaletea pesa mlangoni
tukijitahidi na kuwa na nia njia itakuwepo, tujibidiishe upande wetu halafu ndio tuilaumu serikali kwa ku to play its part
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.