Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

Hii si kweli bali nikujiendekeza na kutofuata maadili mema. hakuna tamaduni wala kitabu chochote kitakatifu cha Mungu kinachoruhusu m/ume au m/mke kufanya hivyo hiyo ni zinaa na kwa sheria za Musa mtu huyo alisitahili kupigwa mawe hadi kufa na hata sasa pia Neno la Mungu linasema mtu asipotubu bali adhabu yake ni mauti na ndio tunaishi kupata magonjwa yasiyo na kinga kama Ukimwi na cancer...Mi pia nilikua najua hivyo kuwa mtu hawezi kuishi bila ku-do- lakini baada ya kuokoka (kukaa ktk imani ya Yesu) niliweza kukaa muda mrefu (2001-2008) bila ku-do hadi nilipokuja kuoa mwaka jana.

Mshahara wa dhambi na mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele Warumi 6:23
 
Hii si kweli bali nikujiendekeza na kutofuata maadili mema. hakuna tamaduni wala kitabu chochote kitakatifu cha Mungu kinachoruhusu m/ume au m/mke kufanya hivyo; hiyo ni zinaa na kwa sheria za Musa mtu huyo alisitahili kupigwa mawe hadi kufa; na hata sasa pia Neno la Mungu linasema mtu asipotubu adhabu yake ni mauti; na ndio maana tunaishia kupata magonjwa yasiyo na kinga kama Ukimwi na cancer...Mi pia nilikua najua hivyo kuwa mtu hawezi kuishi bila ku-do- lakini baada ya kuokoka (kukaa ktk imani ya Yesu) niliweza kukaa muda mrefu (2001-2008) bila ku-do hadi nilipokuja kuoa mwaka jana.

Mshahara wa dhambi na mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele Warumi 6:23
 
Wandugu, hakuna kitu kinachoweza kushinda will power ya mwanadamu kama ameamua jambo kwa dhati: si tamaa za mwili, mielekeo ya kibaolojia, nk. Yote haya hayawezi kushinda will power ya mtu. Wil power ndiyo dira, breki na spidi gavana ya kila kitu.

Kumbe kama mwanamke ameamua kwa dhati na kwa moyo wake wote kumsubiri mchumba/mume wake aliye mbali hakuna kitakachomshinda. Atafaulu! na atashinda majaribu hata kama ni kwa miaka 3 au zaidi. Shida: wengi hawafanyi uamuzi wa dhati, au kama wanafanya huko mbeleni wanakuja kujisahau na kujilegeza na kuanguka. Ndiyo maana kwa wanaosubiriana wanapaswa kudumisha mawasiliano ya mara kwa mara ili kuimarishana na kutiana moyo. Subira ina chakula (nourishment) chake: nacho ni mawasiliano. Bila mawasiliano will power inakosa mlo, inapatwa na kwashiakoo/unyafuzi, inakosa nguvu; na hapo ndipo maadui wanapopata mwanya wa kuingia kwa kasi mpya, ari mpya, na nguvu mpya. Mama anapotea dira!

Namshauri jamaa aende tu huko ughaibuni bila wasiwasi. Cha maana a-keep contact ya mara kwa mara na mchumba wake na kumthibitishia kwamba bado anampenda na kwamba siku moja Mungu akipenda atarudi.
 
...aaah, labda hivyo vigari vyenu ni vibajaji fulani hivi. naona hamjaona magari yenye fujo kama langu... likipita linaacha alama kwenye hiyo lami utafikiri kifaru au katapila la minyororo!!! vuruga vuruga tupu usipime

Hujamuelewa mtoa mada mkuu
 
Back
Top Bottom