Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,484
- 3,400
Hii ndio hasa sababu ya yote, ni mkakati ya 2010, basi.Wizi wa aina hii ya electronic kawaida unaacha alama njiani, kama wako serious watazipata.
Na zile zilizoibiwa kwa mtindo huu huu kupitia account za TUCATA ziliishia wapi? Isijekuwa tunafukuza mwizi na miongoni mwetu ni wezi wenyewe wanamsaidia kutoroka?
Vinginevyo labda iwe ni fund-raising ya 2010 or may be another Kagoda?