Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Anzisha chama mkuu, utapata wafuasi kibao tu.

I am out!

angalieni comment hii jamani!

mzee kila siku unabeba aibu, nimejaribu kukuweka katika hali uweze kujibu hoja, unajibu viroja, yet yu call urself a man!, A man can not stand even in urgument!!

whats wrong with my this IDEA?? mpaka ukajibu negative hivyo mkuu?

wewe mzee?? tutakupa uanachama usihofu
 
Chama chochote lazima kiwe na nidhamu, kama hawatang'oa magugu leo, hakika yanayotokea CCM yatawafika, hakuna haja ya kulindana, ukimiss discipline lazima uadhibiwe.

Kweli kabisa .. na mara nyingine watu wakiwa wanaleta vurugu na hakuna nidhani ni kuwafukuza tu.. hakuna kitakachoharibika.... One organization theory goes like ... Organizations are designed to live longer than organization members.. kwa hiyo kama chama kina misingi hatat aondoke nani the organization will be there. Haiwezekani watu mnaongea mikakati ya kichama kwenye kikao cha ndani halfu kesho yake unaikuta kwenye Jamii Forums ... no no no
 
Kinacho nishangaza mimi ni vijana wetu wanaojiunga ktk vyama vya siasa hapa TZ. Hawa vijana wenzangu kama kweli wana nia ya dhati ni kukaa kama kikundi na kuanzisha chama chini ya mwembe, hapo watakuwa na sauti moja lakini kukuta Mzee mtei na wenzake wamewekeza ktk chama chao na wewe wanakukaribisha alafu baada ya muda unataka uwe na sauti eti kuwazidi walio kukaribisha ktk chama chao? hilo haliwezekani.

Nashauri vijana kama akina zitto, kafulila, nape na wengine, kama kweli tunataka tuwe na chama chetu ni kuanzisha chama cha vijana wa Tanzania bila kuegemea chama cho chote kilichopo na tukisajiri, hapo tutaweza kuwa na sauti na mapambano ya kweli.
You dont know watanzania wewe!! atakaye kuwa wakwanza ku-engineer kuanzishwa kwa chama basi wengine wataanza kusema chama chao, nasi tuanzishe chetu!!!!
 
Chama kinahitaji nidhamu.

Nidhamu inahitajika kila mahali ili pawe tulivu na maendeleo.

Kama vijana hawaheshimu wazee wao na waondolewe.

Pia kuvujisha siri za chama ni sabotage, ni double interest.
 
Tanzania hakuna chama cha upinzani ila kuna baadhi ya watu wachache wanaojitahidi kuwa wapinzani..na hapa naweza sema mpinzani wa kweli ni dr. Slaa pekee wengine wote wanaganga njaa wako kwaajili ya maslahi yao binafsi. Watanzania sio kwamba wajinga ccm tumeichoka lakini hatuoni pa kukimbilia endapo kingetokea chama pinzania cha ukweli tunge hamia huko.
 
I am out!

angalieni comment hii jamani!

mzee kila siku unabeba aibu, nimejaribu kukuweka katika hali uweze kujibu hoja, unajibu viroja, yet yu call urself a man!, A man can not stand even in urgument!!

whats wrong with my this IDEA?? mpaka ukajibu negative hivyo mkuu?

wewe mzee?? tutakupa uanachama usihofu

Acha vilio sasa. Wewe umeshauri kuanzisha chama na mimi nikaunga mkono idea yako. Vilio vya nini tena?
 
You dont know watanzania wewe!! atakaye kuwa wakwanza ku-engineer kuanzishwa kwa chama basi wengine wataanza kusema chama chao, nasi tuanzishe chetu!!!!

What isbetter now?..............kusubiri kufukuzwa au tuanzishe chama chetu kipya na kijulikane ni cha vijana wa tanzania??

Napendekeza jina la chama liwe "Tanzania Youth Patriotic Movement (TYPM)".
 
Tena sumu mbaya kabisa ya kuua hata mbu wanaoingia ndani ya chumba. Yaani alikuwa kaanzisha chama chake ndani ya chadema?!?!

na ushauri kwa Zitto usianzishe League tena katika hili.. kama vikao sahihi vimeamua .. usianze tena hoo mimi mimi sikubaliani .. please.
 
Habari ndo hiyo....mwenye akili anajua painstruth ni nani.....!

Tunajadili issue hapa na sio mtu. Kama unamjua so what? We dont care, tunataja majibu ya baadhi ya maswali. Hakuna anayesema kuwa kama anatoa siri na imethibitika ni kweli ASIFUKUZWE, achilia uongozi hata uwanachama, ila NJIA ILIYOTUMIKA NI SAHIHI?. Alipewa muda kujirekebisha?
 
Na wewe humo? mmeshindwa kujibu hoja mnaanza kutumiana PM, mnaniogopa kiasi hicho semeni hapa kila mtu ajue

Duh!

mnataka mjadili wenyewe

ona mlivyopeleka maada kusiko
========================================
You have lost it. lol
 
Tunajadili issue hapa na sio mtu. Kama unamjua so what? We dont care, tunataja majibu ya baadhi ya maswali. Hakuna anayesema kuwa kama anatoa siri na imethibitika ni kweli ASIFUKUZWE, achilia uongozi hata uwanachama, ila NJIA ILIYOTUMIKA NI SAHIHI?. Alipewa muda kujirekebisha?

Katiba imefuatwa, alikuwa mzigo na vikao halali vimemtoa kwenye hiyo nafasi yake! Usifate mkumbo kaka/dada
 
Tunajadili issue hapa na sio mtu. Kama unamjua so what? We dont care, tunataja majibu ya baadhi ya maswali. Hakuna anayesema kuwa kama anatoa siri na imethibitika ni kweli ASIFUKUZWE, achilia uongozi hata uwanachama, ila NJIA ILIYOTUMIKA NI SAHIHI?. Alipewa muda kujirekebisha?

Kuna tatizo gani kusema alichosema?

Fairplayer, unataka majibu ya maswali gani?
 
========================================
You have lost it. lol

Kwi kwi kwi,

Mbavu zangu jamani. Nimesikia kuwa huyu Painstruth alikuja na matisho tele ya kufukuza watu hapa JF. Naona sasa ameanza kukimbia mwenyewe bila hata kufukuzwa.
 
Sioni tatizo wewe ndo mshabiki. NO WONDER CCM INAPATA ASILIMIA 80%.

Tutawaongoza/tawala MILELE!
=====================================
Not for so long......dont kid yourself. Soma alama za nyakati
 
Kwi kwi kwi,

Mbavu zangu jamani. Nimesikia kuwa huyu Painstruth alikuja na matisho tele ya kufukuza watu hapa JF. Naona sasa ameanza kukimbia mwenyewe bila hata kufukuzwa.

Akiwa na post nane tu kwi kwi kwi kwi....pale aliteleza vibaya!
 
Kweli kabisa .. na mara nyingine watu wakiwa wanaleta vurugu na hakuna nidhani ni kuwafukuza tu.. hakuna kitakachoharibika.... One organization theory goes like ... Organizations are designed to live longer than organization members.. kwa hiyo kama chama kina misingi hatat aondoke nani the organization will be there. Haiwezekani watu mnaongea mikakati ya kichama kwenye kikao cha ndani halfu kesho yake unaikuta kwenye Jamii Forums ... no no no
sijaona kitufe cha senksi, ningekutwanga senksi.

Tunaongelea kuhusu sisiem kuwafukuza wanachama ambao ni watuhumiwa wa ufisadi, na wakifukuzwa watu watakuwa happy. sasa CHADEMA wakifukuza mwanachama hata kama ni ofisa kwa sababu za kinidhamu, watu hawataki wanaona ni uonevu...........Mimtu mingine bana.
 
Kuna tatizo gani kusema alichosema?

Fairplayer, unataka majibu ya maswali gani?

Mwafrika;

Mimi ni CCM, ila naweka Utaifa mbele, nimeuliza:

1. Kwanini mwenyekiti kama alikuwa na uhakika na utoaji siri/tuhuma dhidi ya David alihitisha mkutano usio rasmi Dodoma kumjadili?
2. Je kama ilithibitika kuwa anatoa siri za chama aliitwa ajitetee na kupewa muda ajirekebishe?
3. Kikao kilichomuondoa uongozi kilikuwa halali?
4. Chadema hamna jinsi ya kujadili tofauti zenu za kimtazamo au kimsimamo ndani ya chama bila kufukuzana?
5. Je hamuoni (Chadema) kuwa kufukuzana mnawagawa wanachama katika makundi?

Asante in advance kwa majibu.
 
Back
Top Bottom