Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

CCM ianguke mara ngapi?

Ukiona kuna makundi ndani ya chamba au chombo kimoja na kila kundi linagombana na kundi lingine basi ujue kuwa hicho chama kimeshagawanyika na kinaelekea kaburini
 
CCM ianguke mara ngapi?

Ukiona kuna makundi ndani ya chamba au chombo kimoja na kila kundi linagombana na kundi lingine basi ujue kuwa hicho chama kimeshagawanyika na kinaelekea kaburini

FairPlayer!
Kwa mara ya kwanza tangu nijiunge na jammii japo mara nyingi siingii jamvini kutokana na shughuli za kukimbizi dola umenikuna. You are absolutely right CCM is actually dead ila imeshikiliwa tu na ule uchamadola aliupandikiza Marehemu Julius Kambarage Nyerere. Ukiona Waziri wa utawala Bora ambaye anasimamia national security anaropoka na kutoa classfied information bila tafakuri na aliyemteua anakaa kimya then imekula kwetu. Edward Hosea anatuhumiwa au actually there is a documentary/material proof kwamba he sexed Richmond Corruption scam na aliyemteua anatabasamu and gives him green light kuanza kuwahoji Wabunge for taking multiple envelopes from left and right wakati kuna rushwa kubwa inayoendelea kwenye Songas,and the Monster PAN AFRICAN ENTERPRISES waliopewa jukumu la kuuza gesi ambayo ni mali ya serikali kupitia TPDC na hao vijana hawaihoji au hata ya IPTL na mikataba mibovu ya madini then where is the famous CCM ya walalahoi? It is dead and burried. Actually CCM ilkufa before Mwalimu hajaondolewa hapa duniani maybe na hiyo hiyo CCM yake don't quote me!
 
Ni kweli kuwa CCM ile unayoifahamu haipo tena imeshakufa!!!
 
Ni kweli kuwa CCM ile unayoifahamu haipo tena imeshakufa!!!

kama umekata mkia wa nyoka ukafikiria nyoka amekufa kwa vile mkia hautingishiki utafanya kosa kubwa sana. Tusifarijiane ndugu zangu kuwa CCM imekufa; CCM is still much alive.. na kama paka ina uhai mara saba. Haijafikia hata mahali pa kutimiza unabii. Mgongano uliopo CCM sasa hivi ni mambo binafsi tu na hakuna mgongano wa kiitikadi ambao hutangulia kuvunjika kwa mifumo ya kisiasa. Tanzania bado hatujafika hapo!
 
Kama ilivyo dalili za mvua ni mawingu na dalili za kuanguka kwa ccm kuongoza nchi ni dhahiri japokuwa ni ukweli anguko hilo halipo siku za karibu ,sio 2010 maana na vyama vya upinzani navyo vingi ni choka mbaya. Ndani ya ccm sasa hivi kila mtu ana adui yake na rafiki yake, kila mtu anaropoka lolote. Ule umoja ulioanzishwa na kusimamiwa na baba kipenzi wa taifa letu haupo tena. Umoja ndani ya ccm upo hoi icu unapumulia machine na upo uwezekano mkubwa wa kufa kabisa muda wowote.
 
Tunahitaji mabalansi mapya ili tuweke divai mpya ya karne ya ishirini na moja. Mabalansi ya zamani yamwharibika yameoza hayafai tena na ndio maana tunashuhudia mambo haya sasa hivi.
 
kama umekata mkia wa nyoka ukafikiria nyoka amekufa kwa vile mkia hautingishiki utafanya kosa kubwa sana. Tusifarijiane ndugu zangu kuwa CCM imekufa; CCM is still much alive.. na kama paka ina uhai mara saba. Haijafikia hata mahali pa kutimiza unabii. Mgongano uliopo CCM sasa hivi ni mambo binafsi tu na hakuna mgongano wa kiitikadi ambao hutangulia kuvunjika kwa mifumo ya kisiasa. Tanzania bado hatujafika hapo!
Mzee Mwanakijiji!

Usikate tamaa CCM is good dead and burried. Haihitaji mtu wa kuifukia au kuisukmiza kaburini the way you think. Imejiua yenyewe na hata hakuna haja ya mazishi kwani fisi na kunguru watajichukulia huo mzoga kidogo kidogo. Anguko lao halihitaji wapinzani wala kiongozi. The system shall simply pick a leader out of the pack na kama ikibidi kutoka kwa jamii Watz ambao leo tunawaona wajinga. Just look at Makamba na wenzake walivyokesha kushangilia ushindi wa serikali za mitaa wakati hawakutambua wapiga kura walioandikishwa na tume ya Jaji Makame? Just look at them ni sawa na polisi wa CCM anakuambia nataka kitambulisho ukimpatia Passport halali anakuambia lete cha kupigia kura halafu when it comes kwenye uchaguzi wa kiongozi wa mtaa mnaandikisha wapiga kura chini ya FFU and then manasherehekea ushindi while waliojiandikisha hawafiki laki tano kwa jiji kama DAR halafu mgosi anajivunia asilimia 95% bado Mwenyekiti wa hicho chama dola anatabasamu!! come on!!!!!

 
Bila ya kuwa na chama mbadala, tunaweza kukiangusha CCM na kuleta a Chiluba like replacement.In essence kuruka majivu na kukanyaga moto.

Hii ndiyo sababu kubwa Wananchi wa Tanzania wanapiga kura kwa principle ya "Zimwi likujualo halikuli likakwisha". I am very sorry to point this out, lakini hatujapata upinzani uliojionyesha kuwa na a nationwide following na ku demonstrate kwamba uko ready for the prime time.

Swala sasa hivi si kuishinda CCM, CCM are basically shooting themselves in the foot.Swala ni kwamba akitolewa CCM aje nani?
 
Bila ya kuwa na chama mbadala, tunaweza kukiangusha CCM na kuleta a Chiluba like replacement.In essence kuruka majivu na kukanyaga moto.

Hii ndiyo sababu kubwa Wananchi wa Tanzania wanapiga kura kwa principle ya "Zimwi likujualo halikuli likakwisha". I am very sorry to point this out, lakini hatujapata upinzani uliojionyesha kuwa na a nationwide following na ku demonstrate kwamba uko ready for the prime time.

Swala sasa hivi si kuishinda CCM, CCM are basically shooting themselves in the foot.Swala ni kwamba akitolewa CCM aje nani?

Bluray!
Usiogope waliokuwa na mkate mdomoni hawatawaruhusu muweze kuunda a credible opposition party/organization take it from me! Since they have all arsenals including the national security which has been turned into a CCM security. What ever you even think about which tends to counter balance the CCM vacuum is termed as a threat to national security with slogans like umoja wa kitaifa, mshikamano, amani utilivu and a lot of blaah blaah!!!

We all agree that within the state party there are good strategists lakini kwa sababu it has turned itself into a daylight robbery gang that is where from within the fall comes, it is in a state of the winner takes it all!
Usikonde tutapata viongozi as we go hata kama ni wa mpito like Chiluba unayemtaja at the end of the day atakuwa ametuondolea this monster CCM halafu tutasonga mbele we might even be forced to tolerate some sort of dictatorship like Gaddaffi the Beduin in the worst case cenario that is part of life!! Nawasilisha in a nut shell!!!
 
Kulewa madaraka na kuanza kuendesha vikao vizito kama 'vijiwe'; kutumia lugha za makuli[jargon za makuli] katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao; Rais kukaa kimya na kujifanya hafungamani na upande wowote; kulewa madaraka et al yote hayo ni dalili za kuanguka kwa sanamu ya udongo.
 
Rais kukaa kimya na kujifanya hafungamani na upande wowote; kulewa madaraka et al yote hayo ni dalili za kuanguka kwa sanamu ya udongo.

Raisi kukaa kimya haina maana hafungamani na upande wowote. mafisadi wote ni kivuli cha raisi. Mtu hawezi kuachana na kivuli chake hata siku moja. Ni wakati tu ambapo mwanga haupo ndiyo hakionekani lakini siyo kuwa hakipo.
huwezi ukawa unaona nyumba yako inavunjwa na manyang'au, wezi, mijambazi ukabaki unaangalia tu ili kuwaonyesha watu wa nyumbani mwako kuwa hupo upande wa majambazi au upande wa wanafamilia yako!
kuna mambo mawili yanayojieleza hapa; ama upo upande wa majambazi na umewasaliti wana familia yako au majambazi yamekuzidi nguvu piga kelele uombe msaada. vinginevyo hufai kuwa baba.
 
Mwanakijiji nimekukubali sana mkuu wangu, naungana na jamaa mmoja aliyesema vyama vingi vizuri huwa vile vilivyoanza kama vyama vya wafanyakazi, hapa kwetu vyama hivyo hatuna na vyama vyote vya siasa hapa kwetu vilifanya kosa moja kubwa, vilianza kuji establish Taifani kwanza kuliko matawini, sasa kupata chama cha uhakika cha kuiondoa CCM kwa sasa kiasi fulani inataka kujipanga vizuri kwa chama chenye nia ya dhati kabisa.Uchaguzi wa mitaa umekwisha tukishuhudia vyama vyetu vikiwa hoi, hii ni kwa sababu haviko imara huku chini. na hili hata Mwl Nyerere alikwisha waonya.
 
THE ruling Chama Cha Mapinduzi, which has been in power for more than 30 years, is in imminent danger of formally splitting within the next few months as a direct result of the increasingly messy ideological battle now being fought within its ranks.

Well-placed sources within CCM itself have confirmed to THISDAY that a number of ruling party members of parliament, along with other senior CCM cadres, are contemplating leaving the ruling party altogether because of concerns over its direction in the fight against grand corruption.

”There is now a real danger that CCM will have become irreparably split by February 2010...and that is bound to precipitate a significant leadership exodus from the ruling party,” a senior CCM legislator told THISDAY in an interview.

The senior ruling party MP described the fierce accusations and counter-accusations traded at CCM’s parliamentary caucus meetings in Dodoma last week as part of an ”ideological battle within the party being fought in public.”

Various prominent CCM legislators and cadres have already told THISDAY separately that they would definitely consider leaving the party if the top leadership under the chairmanship of President Jakaya Kikwete does not seriously and conclusively address the grand corruption problem within the party sooner rather than later.

And the general public feeling is that they would be joined by scores more influential CCM cadres, in what might be the biggest bail-out from the party since its formation in 1977.

Although it remains unclear if the looming breakaway group would form its own political party or opt to join one of the existing opposition parties in the country, analysts say it would most certainly present the biggest test for CCM at the October 2010 general elections.

The late Father of the Nation, Mwalimu Julius Nyerere, is on record as predicting once upon a time that the real political opposition in Tanzania would emerge from within CCM itself.

It is now widely believed that following the general inconclusiveness of last weeks highly-charged CCM parliamentary caucus meetings in Dodoma held under the auspices of the ’Three Wise Men’ committee chaired by former president Ali Hassan Mwinyi, the future of the ruling party now rests firmly in the hands of its national chairman, incumbent President Kikwete.

The Mwinyi committee also comprising ex-East African Legislative Assembly Speaker Abdulrahman Kinana and current CCM Vice Chairman Pius Msekwa was formed to delve into the current serious rifts among ruling party MPs, and is now expected to submit its report to President Kikwete within the next few weeks, along with recommendations on how to go about restoring party unity in the face of the current crisis.

The president is then likely to discuss the Mwinyi committee report with members of the party’s top-tier central committee, before presenting it before the CCM national executive committee in December or January for final decision-making.

”The fate of our party now rests in the chairman’s (Kikwete’s) hands. What President Kikwete does after receiving the report from the Mwinyi committee will be crucial. Only he knows,” another senior CCM lawmaker told THISDAY.

Kishapu MP Fred Mpendazoe Tungu (CCM) is amongst those who have openly hinted at the growing potentiality of a formal split within the ruling party, asserting during last week’s parliamentary caucus meetings in Dodoma that CCM as a political party now needs to clearly state its position in the fight against grand corruption.

Another CCM insider told THISDAY on the sidelines of the caucus meetings: ”CCM has been hijacked by a network of corrupt politicians who appear determined to continue looting public funds. The day of reckoning has now come for our party, founded by Nyerere and (former Zanzibar president Abeid Amani) Karume as a party for the working class and peasant farmers - not for wealthy businessmen seeking ill-gotten wealth.”

According to reports from within the caucus meetings, the names of at least four prominent CCM legislators - Edward Lowassa, Rostam Aziz, Andrew Chenge, and Yusuf Makamba - were the focus of most of the deliberations.

Both Lowassa, the ex-prime minister, and Rostam have become heavily implicated in the now-infamous Richmond power generation scandal, leading to Lowassa's resignation from the premiership in February last year. Ex-attorney general Chenge was also forced to resign from his subsequent ministerial position after being similarly heavily-linked to the military radar corruption investigation.

As for Makamba, the current CCM secretary general and MP by virtue of presidential nomination, he has been described by various members of the CCM parliamentary caucus as a close ally of the Lowassa-Rostam-Chenge group.

Parliamentary sources say these four individuals are seen as the main players in a network of politicians which has forged a particularly-powerful alliance within the ruling party over the past decade or so. Insiders say CCM legislators are now sharply divided in three distinct groups - those who support the Lowassa-Rostam-Chenge-Makamba alliance, those who oppose it, and those who are basically neutral

Is this true? or just a smear campaign towards general election? In my opinion it may be true but we are not fools since we heading towards general elections CCM are trying to change the views of Tanzanians towards ufisadis (graft). This is a different century tanzanians are becoming more aware and intelligent to know this is may be also a game plan to distract the attention of ufisadi and pave way to a swift win by the ruling party.
 
The split is inevitable! And we are eagerly waiting for that glorious day. I don't see how the two antagonistic camps in CCM can co-exist under the current political situation.
 
Jana Mzee Kingunge aliwapongeza akina SS na akasema mjadala huu sasa umekwisha kilichobaki sasa ni wenye GUBU wachache ambao aliwataka waache tabia hiyo.
 
Heee... sasa wameamua kutuonesha waziwazi kwamba hivyo ndivyo walivyo na hakuna wa kuwafanya lolote...sana sana unaitwa 'mwenye gubu'!!!! Wenye akili timamu na mapenzi kwa Tanzania wachomoke CCM kisambaratike.
 
Jana Mzee Kingunge aliwapongeza akina SS na akasema mjadala huu sasa umekwisha kilichobaki sasa ni wenye GUBU wachache ambao aliwataka waache tabia hiyo.

Naye mzee huyu kawa kama Mama Sophia Simba aka Mama wa Mipasho....
 
Back
Top Bottom