Recent content by jameeyla

  1. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Germany president resigns over finances scandals

    mbona wewe hukujitokeza??au harakti kwenye keyboard tu....??
  2. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Afya za mawaziri watano ni tete

    its time Rais sasa aangalie wachapa kazi na si kujaza baraza ambalo halina watendaji, hawa wanaoumwa kweli hata akiumwa mwaka hivi hizo kazi zake nani anazifanya kama si kurudisha maendeleo nyuma??hatuombei watu waachishwe kwa afya mbofumbofu bali tuangalie je maendeleo ya wizara hizo yakoje na...
  3. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Vodacom yajitoa miss Tanzania

    kama kuna ukweli ni vizuri kujitoa kwani unadhamini watu ambao hawalisaidii taifa kwa lolote zidi ya kuendekeza ufuska its time watu now badala ya kudhamini ****** huu wakadhamini mashindano ya wanafunzi na elimu na kujikita kwenye huduma za kijamii zaidi.
  4. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Kipanya kaua bendi leo

    sasa hivi elimu ya Tanzania inaangalia zaidi quantity ya wanaosoma sio quality ya elimu,,sifa kubwa kila mtu yuko shule lakini jeee huko kuna quality ya elimu kweli????...===kweli dunia inaangalia vyeti mistari imetulia,,,
  5. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Kweli wabongo tumetoka mbali!

    kulikuwa na mchezo wa baba na mama mnajipikilisha kwenye vifuu vya nazi duh...enzi zile...
  6. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Pedicure na manicure: Hatari sana kwa ndoa zetu na mahusiano kwa ujumla wake!

    ukweli ni kwamba mwanamke asiyekuwa na aibu si mwanamke ndio maana siku hizi matukio ya ajabu ni mengi ndoa ikidumu mwaka basi ushukuru mungu kwa mambo haya haya mwanamke anatakiwa kujihifadhi urembo afanyie kwake nyumbani sasa wewe unakaa barabarani tena mwanaume ambayo si mumeo na si nduguyo...
  7. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Paja la kuku

    mpaka sasa hivi kuna baadhi ya sehemu kama kuna sherehe flani flani wanaume wanapewa mwanzo wanawake mnaambiwa wasubiri wanaume kumaliza kula vitavyobakia ndio mwala nyie.........
  8. jameeyla

    JamiiForums Tanzania mwanamke reception babuuuuuuuuuuu

    mwanamke jichoooooo hata akiliangalia tu preshaaaa juu
  9. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

    what u think if president of somalia visit here every now n then......all eyes on Jk ....
  10. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Siri Gani Hapa Jamani?

    huu ni uwizi wa hali ya juu na huku Rais akipigia kelele kuwachukulia hatua wakwepaji wa kulipa kodi kwa nguvu zote sijui hapa ana maana gani kwa nini na watanzania nao wasipewe grace period wakati wanaanzisha biashara ili kumwezesha kukua zaidi badala yake leo ukifungua duka tu tena uchochoroni...
  11. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Msemeni Dk.Slaa Paka Mchoke lakini juweni Kelele za Chura Hazimzui Ng'ombe Kunywa maji

    kwani hujui kama SIASA NI MCHEZO MCHAFU as long as you are in'' lazima UCHAFUKE,''Ndio maana wengine wanakimbilia kusafishwa kwenye nyumba za ibada,,,,mwache mwenyewe atafute pa kujisafishia,,,
  12. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Balali yuko HAI - He is not dead

    watanzania tuna DEGREE ya kutunga saana , story kama kwenye kile kitabu cha nchi ya'' kusadikika''
  13. jameeyla

    JamiiForums Tanzania TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    RIP mr.EBBO
  14. jameeyla

    JamiiForums Tanzania TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    RIP mr. EBBO
  15. jameeyla

    JamiiForums Tanzania Tribute to Women's Hair - Why we Love 'em! (Both)

    ki ukweli kabisa nywele ni urembo wa mwanamke na ni starehe ya mwanaume ila pia nywele inaleta mashamsham wakati wa faragha na raha zaidi zishikike kwa urahisi wakati huo, sasa hizi style zingine za kusuka siku 3 kichwa kinaegeshwa juu juu duh kaazi kwelikweli,si ajabu ukakuta mwanamke kwa...
Back
Top Bottom