Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,471
- 722
kwa waliobahatika kuwa na naturals za kishombe waache wawe natural. mimi wala hawajani convince wapendeze peke yao tu, artificial na dawa ndo mpango mzima. Tukitoka hakuna anayejua nani fake nani real. Thanks mdhungu alogundua vitu artificial.
Hilo nalo neno NK!
Siku hizi hakuna natural.Hata wazungu na wahindi na waarabu hutia nywele zao dawa kuzinyoosha ziwe straight asikudanganye mtu.Niliwahi muuliza rafiki yangu mwarabu kwanini haachi nywele zake ziwe natural maana tayari ni laini.Akacheka sana na kusema haiwezekani kwa vile naye anataka nywele zake zinyooke.Wazungu wenye natural curls ndo usiseme.Hakuna anayetaka uasili tena.
Cosmetic industry inazidi kupanuka siyo kwa bahati mbaya.Inaitikia matakwa ya watumiaji katika kuboresha na hata ku maintan nywele na ngozi zao.