Pedicure na manicure: Hatari sana kwa ndoa zetu na mahusiano kwa ujumla wake!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
ni ukweli na wala sitanii waungwana,..
nilihisi, na nimeambia wazi, na hatimaye kuthibitisha
kuwa manzi (mtoto wa UDSM) wangu anachukuliwa na hawa vijana wanaojishughulisha na kuchezea kucha
na miguu ya akina mama/dada zetu...(ni jinsi gani nimethibitisha, ilo niachieni ila nipeni ushauri, niko serious wakuu)
nimemkataza kasema yeye hawezi kujitengeneza mwenyewe, so um thinking of learning the process za pedicure na manicure...lol

ishu nyingine ninayotaka kusema hapa, je ni nani mchokozi hapa:mteja au mhudumu?
maana mikao ya hawa wenzetu wakiwa katika iyo huduma utata mtupu...
lakini pia hawa wanaocheza na kucha na vidole nao wanajua jinsi ya kumkuna mtu na akasikia raha(uchokozi thing)

e bana mm naona chenga tupu!!
 
yah kajifunze....... ni wazi huna kazi ya kufanya ww! utajifunza na ufundi cherehani, utafungua na frame ya kuuza viatu , duka la skin jeans! maana uko kote huyo badada anakwenda si et!

nilikuwa nikimaanisha huyo binty hajatulia tuu hata ukifanya nn!
tafakarii chukua hatua.
 
nimekusoma mama, kwan siku hizi mkinawa nyumbani hamtakati?au hamjui kuoga hadi mkaogeshwe mwenge na kwingineko?au mmekua busy sana?kama ni kutokutulia basi ni wengi tu wanang'olewa na wapaka rangi!!researched!!
 
pedicure.jpg

hata wanaume tunafanyiwaga kiutaratibu, wao wako kazini ila ikizidi ni noumer.
 
mimi nadhan hapa ni mtu tu mwenyewe, mim sioni kama mpaka rangi ana effect yoyote kwangu kama nimeenda pale kwa lengo la kupata rangi tu otherwise kama nina mengine ndo naweza kutoka nae otherwise huo ****** sina, wa kwako inawezekana ana mambo mawili kupaka rangi na kumtega jamaa.
 
SAM_4297.JPG

kama usemi wa vodacom,,,,, KAZI NI KWAKO... haya wekeni maneno
asante kamanda...kwanza mcheki mshikaji alivotoa tabasamu la kimahaba...
kavaa vest, full kuonesha misuli yake,..alaaah!!
iyo sketi nayo vip?unamchanulia mapaja mwanaume sio wako, wadada ebu oneni haya...
hapa sio ulaya!!
hebu mkasugue izo nyayo kwenye mawe kama hazitatakata...
 
Hapa ni utata mtupu:

Wife wangu huwa anasifia kwamba kina kaka wanajua kuosha nywele vizuri.

Sasa BAGAH uniambie: ukitaka kufanyiwa scrub, utapenda akuhudumie mwanamke au mbaba mwenzio????

At day end its all about trust!!
 
mimi nadhan hapa ni mtu tu mwenyewe, mim sioni kama mpaka rangi ana effect yoyote kwangu kama nimeenda pale kwa lengo la kupata rangi tu otherwise kama nina mengine ndo naweza kutoka nae otherwise huo ****** sina, wa kwako inawezekana ana mambo mawili kupaka rangi na kumtega jamaa.
sawa cjakataa!!
lakini ww ni mwanadamu na inawezekana una mihemko ya karibu,...
vip mtu anakutekenya nyayo zako, huku akikuangalia usoni...
mara umelegeza jicho,..
mara kakukwangua vibaya kidogo(makusudi) na ww ukaruka nakusema "aiiii weweeeee"...taratibu!!
iyo yote sitaki kabisa kwa mke/mpenzi wangu
 
Hapa ni utata mtupu:

Wife wangu huwa anasifia kwamba kina kaka wanajua kuosha nywele vizuri.

Sasa BAGAH uniambie: ukitaka kufanyiwa scrub, utapenda akuhudumie mwanamke au mbaba mwenzio????

At day end its all about trust!!

Aisifiaye mvua, imenyea... kwann awasifie wakaka tena mbele yako..? hongera we unamoyo mkuu as u said its all about trust(nimeipenda).. ila mi SIWEZI sitakagi kwanza mke wangu amfie mwanaume mwingine mbele yangu.. ukiona hivyo ujue kuna ka-weekness anajaribu kukwambie indirect.. mi napenda wife awe muwazi na namshukuru Mungu kwa hilo
 
SAM_4297.JPG

kama usemi wa vodacom,,,,, KAZI NI KWAKO... haya wekeni maneno
siku nyingine hii kazi uje unifanyie nyumbani baba watoto akisafiri,

kijana-teh teehe teehe usihofu dada.

vbinti--akuu afu hilo jina la dada me sipendi kusikia
 
Duu hii kali sasa.... piga chini tafuta mwingine, kwani hata ukijifunza experience matters alot!!!! Jamaa ataendelea kumega tu :nerd:!!!
 
ukweli ni kwamba mwanamke asiyekuwa na aibu si mwanamke ndio maana siku hizi matukio ya ajabu ni mengi ndoa ikidumu mwaka basi ushukuru mungu kwa mambo haya haya mwanamke anatakiwa kujihifadhi urembo afanyie kwake nyumbani sasa wewe unakaa barabarani tena mwanaume ambayo si mumeo na si nduguyo anakugusa miguu au nywele zako huko ni kukosa haya na mwanamke aliyokosa haya kudumu kwenye mahusiano ni vigumu fanya utafiti,n wanaume hivyo hivyo hayo ndiyo yanayotakiwa kufanywa mkiwa faragha mwanamke akukate kucha akusugue miguu akunyoe vikwapa n.k na akufanyie scrub sasa hayo mascrub ya kufanyiwa na wanawake wengine mmh na ziwa kalisogeza kwenye uso wako kutakuwa na usalama kweli....
 
Hizo picha na hiyo mikao na tabasamu ni balaa aise
bora afanyie tuu nyumbani nitakuw ana kazi oya kumtengeneza mwenyewe
Ila kama ni wa kuruka ataruka tuu hata umchunge vipi
 
sawa cjakataa!!
lakini ww ni mwanadamu na inawezekana una mihemko ya karibu,...
vip mtu anakutekenya nyayo zako, huku akikuangalia usoni...
mara umelegeza jicho,..
mara kakukwangua vibaya kidogo(makusudi) na ww ukaruka nakusema "aiiii weweeeee"...taratibu!!
iyo yote sitaki kabisa kwa mke/mpenzi wangu
kama anajua kabisa hisia zake ziko uko kwa nini bado anaenda? hivi zamani kabla haya mambo hayajaja nani alikuwa anatusugua miguu yetu? afu akiwa anakupaka rangi awezi kukutekenya miguu otherwise uwe umemwambia akuoshe miguu hapo sawa ndo kuna kutekenyana na swala la kuosha miguu you can do it at home ni kuwa na vifaa tu.
 
Back
Top Bottom