Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Naona wamejitoa Miss Tanzania sasa mashindano yatadhaminiwa na kampuni ya pombe
huu ni ushindi kwa nani?
huu ni ushindi kwa nani?
hawajafulia kulikuwa kuna ujanja janja unafanyika kati ya maafisa wa vodacom na lino agency sasa huyu md mpya kashtuka anasema hataki sponsorship za ajabu ajabu kaanza na miss tanzania wengine wanafuata
mjini hapaDu hatari kumbe,nilijua wizi ni sirikalin kumbe hata huko kuna mafisadi? Khaaa!
V.O.D.-Very Old News