List ya wanaotakiwa kujiuzuru kwetu
1. JK
2. MP
3. Mponda
etc endeleza
4. Ngeleja
List ya wanaotakiwa kujiuzuru kwetu
1. JK
2. MP
3. Mponda
etc endeleza
Jibu la mambo haya Tanzania kutokea ni katiba mpya tuu, hiyo itakuwa na uamuzi sahihi si hii ya longo longo, eti mwizi kaiba arudishe fedha asamehewe sheria za wapi??????Habari zilizorushwa punde na CNN ni kwamba President Wulff of German amerisign kwa corruption scandle. Prosecutors wanaangalia namna ya kuondoa immunity ili ashitakiwe.
Somo kwetu watanzani kuwa haya mambo yanawezekana!
jk ni msafi hana kashfa na kama zipo niza kawaida kwa viongozi wa Tz kwa yeye kubwa ni kushindwa kuunda timu yake ya kufanya nayo kazi pamoja na uongozi wake kuwa legelege pasipokuelewa msimamo wake
Hapa Tz tuna utamaduni wetu wa kuwajibishana huku heshima ya mhusika ikiendelea kutunzwa , tuko radhi kuvunja baraza la mawaziri kisa tu hatutaki ionekane waziri say wa Afya aliharibu amewajibishwa utasikia wengine wamehamishwa au watapangiwa majukumu mengine na mhe. rais. kwa namna hiyo nchi zingine zinaweza kuja kujifunza namna ya kumstahi mwanadamu badala ya kumvua nguo mbele ya kadamnasi. -lolHabari zilizorushwa punde na CNN ni kwamba President Wulff of German amerisign kwa corruption scandle. Prosecutors wanaangalia namna ya kuondoa immunity ili ashitakiwe.
Somo kwetu watanzani kuwa haya mambo yanawezekana!
kuhongwa suti 51. EPA
2. RICHMOND
Zingine ongezea
Duh! Huyu alikuwa amepanga kuzuru Tanzania hivi karibuni, na moja ya majukumu yake ilikuwa kufungua makao makuu ya EAC pale Arusha. Sasa sijui itakuwaje!!!
Baada ya Rais wa Ujerumani kujiuzulu..SWALI LA MSINGI KWA WATANZANIA WOTE NA HUSUSANI WADAGANYIKA KKUMRADHI, NAMAANISHA WATANGANYIKA, KIKWETE ANAPASWA KUJIUZULU KWA KASHIFA GANI?
Tuweke kashifa au kama wanavyoziita wenyewe scandal ambazo mkuu huyu wa Tanzania anahusika nazo moja kwa moja, kisha mwenyewe apime na mwisho wa mwezi huu atakapo hutubia Taifa ama akanushe au achukue hatua.