Recent content by Injinia Kitini

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

    Mkuu kwa maana hiyo unaamisha kuna uwezekano binaadamu tukarudi nyuma enzi za zama za mawe. Mi nadhani kufundishana ndo kumefanya binadamu kuwa bora zaidi ya wanyama wengine na hata hiyo "theory of everything" hakuna atakayeielewa pasipo kufundishwa. Ila umezungumza kitu kimoja kizuri 'ORIGIN'
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

    Tutaishi maisha halisi na tutaishi milele[emoji1] [emoji1]
  3. I

    JamiiForums Tanzania Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

    Kwa uzoefu wangu, hili swali mara nyingi huwa linaulizwa na watu ambao asilimia kubwa ya makuzi yao yalikuwa vijijini Ila walipata bahati ya kusoma elimu ya chuo Dar es salaam. So kila kitu anachokiona anajaribu kulinganisha na Dar. Anataka aone fly over, traffic lights nyingi nahisi mpaka...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

    Mamodal wa kibongo kwa vituko hamjambo, hapa unataka kuona picha yako ikitupiwa af wadada wateremshe sifa zao ..sifa zitawaua
  5. I

    JamiiForums Tanzania Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

    ah ngoja nimsikilize msaga sumu nishachoka na hao wapuuzi ...mwanaume mashineee yani mashine
  6. I

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya waonyesha watu weusi sio watu halisi

    Naombea iwe kweli adhabu ya moto isituhusu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

  8. I

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

    We sio Bumija wa kitai kweli[emoji2] [emoji2] huu uzi wa maTO wapenda shule kama nyie lazima muupitie
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi wetu ni Ujambazi, Ugaidi au Retaliation? Nini kifanyike kukomesha hali hii?

    Hawa jamaa wanaweza kuchukua hiyo zone kirahisi sana mana tunakoelekea polisi watagoma kwenda huko na waliopo wanaweza wasiende makazini sababu ya hofu
  10. I

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

    kwajinsi watu wanavopigia kelele kauli ya mheshimiwa nahisi upatikanaji wa Roma utasogezwa mbele haiwezi kuwa jpili tena
  11. I

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

    hii ishu ya Roma jamaa wameamua kucheza na akili zetu ila wameshindwa kuupangilia vizuri mtiririko wa matukio, ndani ya siku mbili mambo kibao mara tamko la tale, wasanii kukutana na makonda hatujakaa sawa diomond katoa nyimbo ...acha tufocus mtama hapo badae
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nimpe au nisimpe?!

    Guinness wanasuburi nini kumuweka huyu dada kwenye record zao
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    hapa wa dot com huwezi kuona pua yake iking'aa
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ukiacha matumizi ya Mapambo, nini Kipo nyuma ya uthaman wa Dhahabu?

    swali linakuja kwanini ni dhahabu na sio shaba au chuma
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko: Juice za Ikulu

    Duh mkuu hapo ndo umefikiria mpaka mwisho au unatania
Back
Top Bottom