Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

Unauhakika na unacho kizungumza?
Halafu mi sipangiwi nianzishe Uzi wa namna gani na mtu yeyote maana bando ni langu ,simu ni yangu na chaja niliyotumia kuchaji hii simu ni yangu pia
Kama unaona mada inakuboa pita wima tusitiane unajisi mapema hivi!
Hongera kwa kuto kupangiwa na Mimi usinipangie niungane na ujinga ulio andika
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,

Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.

Nawasilisha.
labda tukuulize unazijua sifa za sehemu au mji kuupa rank ya jiji. ..kama unazijua tuambie? nakama huzijui badilisha swali lako , lisomeke hiviii naombaaa mnieleze sifa za mji kuwa jiji
 
Kwani majiji wengine hujui kwaanini wamekuwa majiji? Au au ninadhani kuwa jiji ni kuwa ni kuwa na bar nyingi au? angalia population huduma za kijamii zipoje ndio utajua usije ukadhani kuwa jiji ni kuwa na Tv mbeya sasa hivi ni ya pili kutaifa kuingiza mapato ya serikali ikiongozawa Dar es salaam
 
Sifa za kupaita mahali jiji ni idadi ya watu na Huduma bora za jamii kama vile maji safi,elimu ,miundombinu
 
Kwani majiji wengine hujui kwaanini wamekuwa majiji? Au au ninadhani kuwa jiji ni kuwa ni kuwa na bar nyingi au? angalia population huduma za kijamii zipoje ndio utajua usije ukadhani kuwa jiji ni kuwa na Tv mbeya sasa hivi ni ya pili kutaifa kuingiza mapato ya serikali ikiongozawa Dar es salaam
Tulia uandike vitu vinavyo eleweka!
 
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,

Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.

Nawasilisha.
Mkuu, kuna vigezo ambavyo mji lazima ukidhi ili kutangazwa kuwa Jiji.

Unavijua vigezo hivyo?

Kama unavijua, umepitia kimoja baada ya kingine ukaona Mbeya haistahili?

Si vyema kujisemea tu kwa hisia zako binafsi. Mji kutangazwa kuwa Jiji ni mchakato mrefu unaohusisha watu wengi na TAMISEMI.
 
Kwa uzoefu wangu, hili swali mara nyingi huwa linaulizwa na watu ambao asilimia kubwa ya makuzi yao yalikuwa vijijini Ila walipata bahati ya kusoma elimu ya chuo Dar es salaam. So kila kitu anachokiona anajaribu kulinganisha na Dar. Anataka aone fly over, traffic lights nyingi nahisi mpaka bahari huwa wanataka waione ndo waamini kweli Mbeya jiji
 
Back
Top Bottom