Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Kumekuwa na kawaida ya watu kualikwa ikulu hasa wanapo kuwa wamepewa tuzo au wamepata ushindi fulani..
Ni jambo zuri na linatia moyo,Wote tunajua Samatta kapata tuzo ya uchezaji bora Afrika kwa wachezaji wa ndani.. na Ikulu imempongeza kwa kupitia Waziri wake wa habari na michezo..
Naamini huu ndio utaratibu mzuri na kuleta heshima ya ikulu.Pia kumjengea heshima Rais na ofisi yake na kuondoa lawama zisizo na maana kwani si kitu rahisi Rais kumkaribisha kila anayefanya vizuri kwa ajili ya kushiriki juice za ikulu.
Kama ni kuwaalika basi wote waalikwe kwani itafika mahali hata walioongoza kwenye shule za vidudu watataka wakaonje juice za ikulu..
Nampongeza Rais na ofisi yako kwa kutambua mchango ulioletwa na kijana Samatta..

Last edited by a moderator: