ipo hivi katika ile product cycle tigo ipo kwenye decline stage. Hawafai tigo we fikiria nimenunua hizo sms zao ila nikituma zinakuwa failed. Haya kuna wakati nina salio kwenye simu ila nikipiga simu naambiwa sina salio . Hivi sindio kufa kufaana hapa
pole sanat. Utarudi cio mda mrefu. Na hao wanafiki na wazandiki walaaniwe kwa mambo yao haya ambayo enzi za udikteta ndio yalikuwepo. Lakini wajue. TRUETH NEVER DIE
Hello JF members.
Leo ni maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wetu wa TZ. Ila sasa imegeuka kero kwa wale tuloacha kazi zetu na kuja uwanjani. Kwanza watu ni wengi sana na tatizo kubwa ni kufanyia uwanja mdogo a.k.a uwanja wa bibi kiasi kwamba imebidi niruke ukuta . Da so fun sasa...
Asante mtoa mada. Ila mi leo nimepata case mpya. Nilikuwa na kunywa soda ya mountain dew basi jamaa akaniambia unakunywaje hi soda wakati inapunguza ngùvú za kíùmé.! Je kuna ukweli gani?
Principle wa ifm hawa vijana malecture wana matatizo mengi sana nashangaa hata siku moja hawajawi kua assesiwa yani bora wazee wetu maana hawa vijana they need us to appreciate them while we need education which leads us to be innovater and discovery to our society and not their first class or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.