hawa ndio viongozi wetu wa kesho!
Full bangi kichwani!
Wassira aliistukia mapema aliposema hawa vijana ni full bangi!
hawa ndio viongozi wetu wa kesho!
Full bangi kichwani!
msako uliofanywa kitivo cha Elimu na kitivo cha sayansi ya jamii.,sanaa na lugha ulipelekea kuwatia nguvuni vijana kumi...ambao ni
Kitivo cha Elimu
Josephu jona(27
Mwakasitu ikwisa(29
Hamisi issaka(25
Shaban saidi(25 wote ni mwaka 3.
Stambuli Rahim(22 mwaka wa 2.
Kitivo cha sayansi ya jamaii,sanaa na lugha ni.
Mutongore Filbert(27
Samweli Seiboko(24
Ahmed Abdulazizi (20
Nkembo boniface(24 wote hawa ni 3yr.
Walipopekuliwa walikutwa na Misokoto 16 ya bange.
Wasom
hivi kumbe hadi udom kuna wasomi.!!!?
hawa ndio viongozi wetu wa kesho!
Full bangi kichwani!
Peter toshi yeye aliimba,angependa kuwaona mpaka daktar wanavuta ganja...Labda hawavuti, wanauza tu, si unajua tena maisha ya chuoni yalivo tight? lol
msako uliofanywa kitivo cha Elimu na kitivo cha sayansi ya jamii.,sanaa na lugha ulipelekea kuwatia nguvuni vijana kumi...ambao ni
Kitivo cha Elimu
Josephu jona(27
Mwakasitu ikwisa(29
Hamisi issaka(25
Shaban saidi(25 wote ni mwaka 3.
Stambuli Rahim(22 mwaka wa 2.
Kitivo cha sayansi ya jamaii,sanaa na lugha ni.
Mutongore Filbert(27
Samweli Seiboko(24
Ahmed Abdulazizi (20
Nkembo boniface(24 wote hawa ni 3yr.
Walipopekuliwa walikutwa na Misokoto 16 ya bange.
Wasom
hivi kumbe hadi udom kuna wasomi.!!!?
Kumbe udom hakuna wasomi ha ha ha udm ni kijiwe
Na mimi nilihisi kuna jambo wanalitafuta, wapate kusema udom ni wavuta bangi ndio maana wanagomagoma. Nonsense
Mwaka huu sapu zitaongezeka sana maana dili limestukiwa. kuna watu bila msokoto kitabu hakipandi ati!
usalama wa taifa au usalama wa magamba?
kama mkwerè
Wewe acha kutetea uovu, sasa kama wamekamata watu wote hao watuwasiconclude? au hujui siku zote explanation za maisha ni matokeo ya inference iliyofanywa kutoka kwenye sample (sehemu ndogo ya population)? hii ndo sample yetu ya wana udom na hvo kwa kurely kwenye sample hii watu wanaconclude kama ulivoona.
BTW kama wewe ni mhusika utajijua mwenyewe, uache mibangi ili usipostiwe hapa tena, hata aibu huna msomi mzima unatetea mibangi??????????