Mchungaji Rwakatare amtaja Shetani kujitetea

Mchungaji Rwakatare amtaja Shetani kujitetea

Makanisa ya kitapeli hapa Tanzania yako mengi ila matapeli sugu ni hawa.....
1. Ngurumo ya upako (arusha) - Mheshimiwa, mstahiki, mtukufu Geordavie.
2. mzee wa upako (ubungo dar)
3. Mwingira (dar)
4. Gwajima(dar)
5. Gamanywa(dar)
6. Mama Rwakatare(dar)
na mengine mengi hasa yanayoitwa majina yake kwa kiingereza eg Glory church, lord mercy church etc

Evidence pleeeeeeeeeeeeeease!!!!!

Halafu huyo namba 4, si ndo kina Six na Dr. Mwa K. walienda juzi kutoa ushuhuda??
 
Huyu mama ni kama mfa maji haachi kutapatapa. Tamaa yake ya fedha ndio inayomuumbua anaacha kuchunga kondoo wa bwana anakwenda kulilia posho. badala ya kukemea maovu ya magamba anabaki kuunga mkono na kujinufaisha.
 
hana lolote huyu mama ni tapeli wa kimataifa kupitia kwa yesu, muogopeni sana .

Dah! Inataka Moyo coment Kama hizi....vp Wewe Ni msaidizi wa SIR GOD unaupako wa kujua nani muovu na nani makatifu?
hebu tuelezee huo utapeli wake walau kidogo tu ututhibitishie, Kama huna ushahidi muombe radhi maana ana waumini wengi sana tu na wa naamini mafundisho yake. Vinginevyo, nitaamini Wewe ndio pepo mama lwakatare aliyesema kampotezeshea fomu zake Huko maadili.
 
mmmmmh huyu mama sio wa kumwamini,unajua kuchanganya dini na siasa sio vzr,
 
Ibilisi wa mtu ni mtu...kama ni kweli basi ibilisi shetani mharibu mambo wa mch Rwakatare niiii...........
Nitarejea njaa inauma
 
Back
Top Bottom